SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Halafu wasilojua walioleta wazo hili, kuweka kiingilio bure mechi ya Yanga kunaongeza watu watakaoenda kwenye mechi ya Simba. Yule mshabiki aliyekuwa alipe 3000 au 5000 kwenye mechi ya Yanga ameshajihakikishia anaingia bure, sasa ataenda kuitumia hiyo pesa yake kununua tiketi kwenye mechi ya Simba. Ni kama amenunua tiketi moja kuangalia mechi mbili.
Hayo masharti ya jezi hawana uwezo wa kuyatekeleza.
Hayo masharti ya jezi hawana uwezo wa kuyatekeleza.