Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Wewe huna akili na ni hasara Kwa familia yako.GSM imewalipia mashabiki wa Yanga viingilio kwenye mechi ijayo na Mediama lakini getini uwe umevaa jezi original.
Huu ni ujuha na siyo msaada jezi kuwa ticket ya kuingia uwanjani,wote tunapenda kuangalia mpira,huwezi kupanga wote tuvae jezi za Yanga ndo tuingie uwanjani.
Na wala siyo bure,ina maana gani watu kulipiwa tickets wakati kiingilio uwe na jezi
Kumbe wewe kichwani zimejaa fungus, sasa Haier si ndio GSM? Kumbe huwa mnaropoka Vitu msivyovijuwa.Kama GSM mnamuita tajiri wenu, SportPesa ni nani wenu? Na hao wengine Haier na Whizmo wenye mikataba ya siri kuliko ya nchi nao mnawaitaje?
Hakikisheni mnatutengea sehemu yetu sisi mashabiki wa Medeama kama sheria za CAF zinavyotaka na msitusumbue kama mlivyowasumbua mashabiki wa Al Ahly. Tuachieni siti za kutosha tujimwaemwae wakati tunawaondoa mashindanoni.Wewe huna akili na ni hasara Kwa familia yako.
Mechi ya Yanga na hamasa wanafanyiwa Wana Yanga wenye timu Yao wewe kinapwita nini?
Halafu GSM amenunuwa ticket za mzunguko tu wewe kama kidume kweli kanunuwe ticket za VIP uingie usituletee ushubwada hapa na gubu la kizaramo.
Jezi zozote original, hiyo ni offer ya mzunguko Sisi wa VIP haituhusu.Leta habari kamili basi? Jezi yoyote ya Yanga au za msimu huu pekee?
Na ni za mashindano yote au haya ya CAF pekee?
Huwezi kujiita mshabiki hata jezi huna, usiwe tutusa hapo fans engagement ndio inayofanyika, kama huna jezi nunuwa ticket za madaraja mengine hamna anayekatazwa, muwe mnaficha chuki zenu na uchawi uliowakaa mioyoni.Sasa hapo nani anapiga pesa jez 35,000 huku mzunguko 5,000 GSM mjanja sana
Teketi zilizonunuliwa zote ni za mzunguko 5,000/=per. Lipa VIP 15000 uondokane na adha ya kununua "dekio".Wengine ni wapenzi wa mpira hatuchagui mechi ya kuangalia lakini hatupendi kuvaa madekio
Sent using Jamii Forums mobile app
Njoo nikuazimishe jezi orijino wewe ukawaangalie Wananchi. Hayo maswali yako yote hayana mashiko.Kama GSM mnamuita tajiri wenu, SportPesa ni nani wenu? Na hao wengine Haier na Whizmo wenye mikataba ya siri kuliko ya nchi nao mnawaitaje?
Sio lazima kila mara kuandika uzi hasa kwa timu isiyo kuhusu, halafu mbona kawaida Mwaka jana Wydad na Mamelod nusu fainali ilikuwa kiingilio bure. Nyie endeleni na kushirikiana na Miso Misondo muujaze uwanja, kwani kila timu ina style yake na ukiona hivyo timu ipo vizuri kiuchumi.GSM imewalipia mashabiki wa Yanga viingilio kwenye mechi ijayo na Mediama lakini getini uwe umevaa jezi original.
Huu ni ujuha na siyo msaada jezi kuwa ticket ya kuingia uwanjani,wote tunapenda kuangalia mpira,huwezi kupanga wote tuvae jezi za Yanga ndo tuingie uwanjani.
Na wala siyo bure,ina maana gani watu kulipiwa tickets wakati kiingilio uwe na jezi
Sasa timu yako, juzi 5imba ilishusha vingilio toka 5000 mpaka 3000,ila hata robo ya uwanja hamkujaza, halafu tusipangiane, wewe jiunge na Miso Misondo kuhamasisha watu waingie.Kama siyo uwendawazimu ni nini ninunue dekio kwa 35,000 ili niingie uwanjani bure wakati kiingilio ingekuwa 3,000
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii tabia si ya wale nyuma mwikoSafi sana. Naunga mkono hoja. Viherehere wote wa kushangilia wageni, chaliii!!! 😁
Sasa vinakuhusu nini?Siku hizi mmesahau kudai bil 20,maana kila mkipigwa mnakumbuka bil 20.Kama GSM mnamuita tajiri wenu, SportPesa ni nani wenu? Na hao wengine Haier na Whizmo wenye mikataba ya siri kuliko ya nchi nao mnawaitaje?
Mtuvunjie viti faini halafu faini apigwe Yanga.Hakikisheni mnatutengea sehemu yetu sisi mashabiki wa Medeama kama sheria za CAF zinavyotaka na msitusumbue kama mlivyowasumbua mashabiki wa Al Ahly. Tuachieni siti za kutosha tujimwaemwae wakati tunawaondoa mashindanoni.
Sa itakuwaje kwa mashabiki wa uto wanaopenda jezi za Simba?GSM imewalipia mashabiki wa Yanga viingilio kwenye mechi ijayo na Mediama lakini getini uwe umevaa jezi original.
Huu ni ujuha na siyo msaada jezi kuwa ticket ya kuingia uwanjani,wote tunapenda kuangalia mpira,huwezi kupanga wote tuvae jezi za Yanga ndo tuingie uwanjani.
Na wala siyo bure,ina maana gani watu kulipiwa tickets wakati kiingilio uwe na jezi
Tiini sheria bila shuruti. Mashabiki wa Medeama tutakuja vizuri tu na kila mmoja atavaa jezi yoyote atakayoona inamfaa na tuhajitaji ulinzi wa kutosha kushangilia timu yetu. Una shida yoyote kwenye hilo?Mtuvunjie viti faini halafu faini apigwe Yanga.
Mvunje viti then faini alipe Yanga. Nyie endeleeni kumfuata DJ na Misondo mtuachie mechi yetu.Tiini sheria bila shuruti. Mashabiki wa Medeama tutakuja vizuri tu na kila mmoja atavaa jezi yoyote atakayoona inamfaa na tuhajitaji ulinzi wa kutosha kushangilia timu yetu. Una shida yoyote kwenye hilo?
Skudu..awamu hii mechi ni ya mchezaji gani?
Wewe kisokolokwinyo mmoja uliye huko Mwandiga ndani ndani ndiyo ujue nini kimetokea uwanjani kuwazidi wale waliokuwepoMvunje viti then faini alipe Yanga. Nyie endeleeni kumfuata DJ na Misondo mtuachie mechi yetu.