Watumie akili watangaze rangi ya siku hiyo kama ni njano pekee au kijani pekee. Hiyo ingeleta maana kwa uwanja kupendeza kwa rangi Moja tofauti na Sasa ambapo jezi zipo za rangi nyingi. Hilo la jezi original haliwezekaniki ila la rangi Moja mtu aje na jezi ya mwaka wowote ila rangi hiyo iliyotangazwa na iwe ndio tiketi yake ya kuingia uwanjani linge swihi Sana na uwanja ungekuwa kama was ulaya au urarabuni