Mechi ya Yanga ndio ilipaswa kuwekwa sinema zetu

Mechi ya Yanga ndio ilipaswa kuwekwa sinema zetu

"Nawashukuru Azam media Kwa kuonyesha uwezo wao Na ubabe wa kuonyesha mechi nane Kwa wakati mmoja,AFCON walishindwa, Azam wameweza. hii inaonesha umahiri walio nao...Mechi nane Kwa wakati mmoja!Sio Jambo dogo ujue? mpaka Sinema zetu Leo wameonesha mechi,,Utopolo imeoneshwa channeli Gani? Sinema zetu au??''
-Maalim Haji Manara
Hahahha manara jau sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Iyo mechi atakama ilitakiwa ionyeshwe mechi moja tu iyo ya Yanga ndio ingepewa kipaumbele kwakua ndio timu ya Wananchi. Ndio inayo kipa king'amuzi cha Azam heshma.
Kwenye Ligi ya Tanzania uki iondoa Yanga mechizote zilizo baki zinakua hazina mvuto na kampuni ya Azam wanalifahamu ilo.
Alisikika mzee mpili
 
Naona kabisa mbumbumbu fc kinachowafanya muweweseke hivi ni kimoja cha zawadi mauya. Hamna jipya nyie. Alafu bingwa alipatikana tar 3 hizi mechi zingine ni kukamilisha ratiba tu. Hata nyie mbumbunyo mnalijua hilo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hayoooooo
 
Kumbe skuizi bingwa wa ligi anapatikana kwenye mchi moja ?
 
Matusi ya nini ndugu,nitatoa bastola
Fala huyu mtoa post, hana hata fikra kuwa mechi ya Yanga imewekwa Sports 2 kwa sababu ili uione lazima ulipie kifurushi kikubwa tofauti na Sinema Zetu ambayo unaipata kwa kifurushi cha chini.
Lengo lake ni kuishusha Yanga hadhi so lazima ajibiwe kikuda tu
 
Fala huyu mtoa post, hana hata fikra kuwa mechi ya Yanga imewekwa Sports 2 kwa sababu ili uione lazima ulipie kifurushi kikubwa tofauti na Simena Zetu ambayo unaipata kwa kifurushi cha chini.
Lengo lake ni kuishusha Yanga hadhi so lazima ajibiwe kikuda tu
Umepaniki Brother [emoji23][emoji23]
 
Mkuu kuchukua kombe la mapinduzi ndo unatamba hivyo? je ungechukua vpl mara 4 mfululzo kisha kumpiga as vita nyumbani naugenini aaf ukamkuyuga al ahly mpaka akawa anatamani game ishe hapo si ungetembea uchi kabisa huku ukiuliza nani anayo kubwa, nene na nyeusi kama hii yangu?
ukweli unabaki kama ulivo, hata azam waoneshe mechi za yanga pekee hawawezi pata hasara
 
Back
Top Bottom