marcoveratti
JF-Expert Member
- Sep 21, 2017
- 1,019
- 1,824
- Thread starter
- #21
Hahahha manara jau sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]"Nawashukuru Azam media Kwa kuonyesha uwezo wao Na ubabe wa kuonyesha mechi nane Kwa wakati mmoja,AFCON walishindwa, Azam wameweza. hii inaonesha umahiri walio nao...Mechi nane Kwa wakati mmoja!Sio Jambo dogo ujue? mpaka Sinema zetu Leo wameonesha mechi,,Utopolo imeoneshwa channeli Gani? Sinema zetu au??''
-Maalim Haji Manara