marcoveratti
JF-Expert Member
- Sep 21, 2017
- 1,019
- 1,824
- Thread starter
-
- #21
Hahahha manara jau sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]"Nawashukuru Azam media Kwa kuonyesha uwezo wao Na ubabe wa kuonyesha mechi nane Kwa wakati mmoja,AFCON walishindwa, Azam wameweza. hii inaonesha umahiri walio nao...Mechi nane Kwa wakati mmoja!Sio Jambo dogo ujue? mpaka Sinema zetu Leo wameonesha mechi,,Utopolo imeoneshwa channeli Gani? Sinema zetu au??''
-Maalim Haji Manara
Alisikika mzee mpiliIyo mechi atakama ilitakiwa ionyeshwe mechi moja tu iyo ya Yanga ndio ingepewa kipaumbele kwakua ndio timu ya Wananchi. Ndio inayo kipa king'amuzi cha Azam heshma.
Kwenye Ligi ya Tanzania uki iondoa Yanga mechizote zilizo baki zinakua hazina mvuto na kampuni ya Azam wanalifahamu ilo.
Hahahahaha mzee mpili bado kutoa ngoma na Mondi tuu ..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Alisikika mzee mpili
Kumbe skuizi bingwa wa ligi anapatikana kwenye mchi moja ?Naona kabisa mbumbumbu fc kinachowafanya muweweseke hivi ni kimoja cha zawadi mauya. Hamna jipya nyie. Alafu bingwa alipatikana tar 3 hizi mechi zingine ni kukamilisha ratiba tu. Hata nyie mbumbunyo mnalijua hilo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hayoooooo
Wenye ligi yao wanajua. Ni mwendo wa maumivu tu.Kumbe skuizi bingwa wa ligi anapatikana kwenye mchi moja ?
😂 😂 😂Acha roho mbaya mkuu ..
Fala huyu mtoa post, hana hata fikra kuwa mechi ya Yanga imewekwa Sports 2 kwa sababu ili uione lazima ulipie kifurushi kikubwa tofauti na Sinema Zetu ambayo unaipata kwa kifurushi cha chini.Matusi ya nini ndugu,nitatoa bastola
Umepaniki Brother [emoji23][emoji23]Fala huyu mtoa post, hana hata fikra kuwa mechi ya Yanga imewekwa Sports 2 kwa sababu ili uione lazima ulipie kifurushi kikubwa tofauti na Simena Zetu ambayo unaipata kwa kifurushi cha chini.
Lengo lake ni kuishusha Yanga hadhi so lazima ajibiwe kikuda tu
Sindano imekuingiaUmepaniki Brother [emoji23][emoji23]
Hakuna sindano hapo naona povu tu la OMOSindano imekuingia
Hujui marketing strategies kaa na unazi wakoHakuna sindano hapo naona povu tu la OMO
Hakuna Cha marketing strategies hapo ...ni ujinga tuu kwani azam wao ndio wakwanza kuonesh mechi za mwisho wa ligi simultinousHujui marketing strategies kaa na unazi wako
Haya umeshindaHakuna Cha marketing strategies hapo ...ni ujinga tuu kwani azam wao ndio wakwanza kuonesh mechi za mwisho wa ligi simultinous
ukweli unabaki kama ulivo, hata azam waoneshe mechi za yanga pekee hawawezi pata hasaraMkuu kuchukua kombe la mapinduzi ndo unatamba hivyo? je ungechukua vpl mara 4 mfululzo kisha kumpiga as vita nyumbani naugenini aaf ukamkuyuga al ahly mpaka akawa anatamani game ishe hapo si ungetembea uchi kabisa huku ukiuliza nani anayo kubwa, nene na nyeusi kama hii yangu?
hadhi ya mechi akili yako inakwambia iko kwenye nini?So what hujui kutofsutisha hadhi ya mechi na hadhi ya timu ...meshi ya leo Yanga na dodoma jiji ilikua haina hadhi kuizidi mechi ya Mbeya city
Kwenye ushindanihadhi ya mechi akili yako inakwambia iko kwenye nini?
Duuuuukweli unabaki kama ulivo, hata azam waoneshe mechi za yanga pekee hawawezi pata hasara
Ukiona umezunguka vibanda 12 basi wewe ni mang'aa.Leo nimezunguka vibanda umiza karibia 12 vyote vinaonesha Simba Tu hata kama TV zipo 5...
Wananchi tunapata tabu Sana mtaani[emoji22]