MECHI YA YANGA SANGAPI WANAYANGA WENZANGUnAIPENDA YANGA BUREEEE

Ukweli wabaya wamefanikiwa kuiharibu yanga ila poa tu maana hakuna namna walianza kuharibu uchumi wa timu wakijua msimu huu timu itafanya vibaya hapana wakaanza kushawishi wachezaji kugomea timu (baadhi yao wale ambao ni tegemeo )timu haikuyumba baadae ndio wakajua kwa sasa muhimili wa timu ni kocha wamemuondoa ili wafanikiwe kuiharibu timu sawa
 
Halafu uwe unatetea nyuzi zako sio unazianzisha kisha unakimbia. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Pambana nao tu hivyo hivyo.
Sasa nateteaje hapo mtani nimeanzisha ili wadau tujue au kimekukera nini mtani kuulza muda au ndo Yanga kama kawaida yake
 
Sasa nateteaje hapo mtani nimeanzisha ili wadau tujue au kimekukera nini mtani kuulza muda au ndo Yanga kama kawaida yake
Ooh. Pole Mkuu maana naona tumeongea lugha mbili tofauti. πŸšΆβ€β™‚οΈπŸšΆβ€β™‚οΈπŸšΆβ€β™‚οΈ
 
Wala mm usinipe kisingizio kabisa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] na hivi zahera mmefukuza yaani leo mnafungwa 3
Yaani kukuona hapa hii ni dalili mbaya ujue Dada. [emoji85][emoji85] tukifungwa nakulilia. [emoji23][emoji23][emoji23]

Sakayo njoo umuone Shunie anavyotuombea mabaya.
 
Wala mm usinipe kisingizio kabisa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] na hivi zahera mmefukuza yaani leo mnafungwa 3
Usiseme hivyo bwaana. Tunashinda kama kawaida.

Zahera kaenda kula sikukuu na kusaini mikataba ya biashara zake kabla ya mwaka mpya mtamuona najua hamtaamini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…