Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zajera nasikia kasepa!Wadau mechi yetu inaanza sa ngapi leo huko Arusha
Halafu uwe unatetea nyuzi zako sio unazianzisha kisha unakimbia. 😂😂😂 Pambana nao tu hivyo hivyo.Wadau mechi yetu inaanza sa ngapi leo huko Arusha
Kama yeye ndio alikuwa anaingia Uwanjani na kufunga magoli sawa,na ujue match moja kukosekana kwa Kocha haina effect kubwaZajera nasikia kasepa!
Leo yanga anaukalia mkavu mkavu.
Tatizo Watani zetu wamekariri.Kama yeye ndio alikuwa anaingia Uwanjani na kufunga magoli sawa,na ujue match moja kukosekana kwa Kocha haina effect kubwa
Sasa nateteaje hapo mtani nimeanzisha ili wadau tujue au kimekukera nini mtani kuulza muda au ndo Yanga kama kawaida yakeHalafu uwe unatetea nyuzi zako sio unazianzisha kisha unakimbia. 😂😂😂 Pambana nao tu hivyo hivyo.
Ooh. Pole Mkuu maana naona tumeongea lugha mbili tofauti. 🚶♂️🚶♂️🚶♂️Sasa nateteaje hapo mtani nimeanzisha ili wadau tujue au kimekukera nini mtani kuulza muda au ndo Yanga kama kawaida yake
sa kumi mkuu, mungu ibariki African LyonWadau mechi yetu inaanza sa ngapi leo huko Arusha
Mechi inachezwa 16:00hrs
Hebu huko 😂😂😂Kila la heri lyon
Yaani kukuona hapa hii ni dalili mbaya ujue Dada. [emoji85][emoji85] tukifungwa nakulilia. [emoji23][emoji23][emoji23]
Sakayo njoo umuone Shunie anavyotuombea mabaya.
Usiseme hivyo bwaana. Tunashinda kama kawaida.Wala mm usinipe kisingizio kabisa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] na hivi zahera mmefukuza yaani leo mnafungwa 3
Baraka za mwisho kazitoa jana kwa Nkana Red Devils, nyie mmechelewa.sa kumi mkuu, mungu ibariki African Lyon
Usiseme hivyo bwaana. Tunashinda kama kawaida.
Zahera kaenda kula sikukuu na kusaini mikataba ya biashara zakw kabla ya mwaka mpya mtamuona najua hamtaamini.