Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Hahahah uzunguni my foot tunaishi kwa mtogole hukuWenzetu mpo uzunguni. Huku umekata toka asubuhi nasikia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahah uzunguni my foot tunaishi kwa mtogole hukuWenzetu mpo uzunguni. Huku umekata toka asubuhi nasikia.
Kama nakuonaHivyo na leo point 3 za kwetu. Raha sana mwaka huu. Dkk ya ngapi?
Uuuuuuhhhh. Nafsi imepoa sasa. 😂😂😂Yanga mnaongoza moja naona unahema sasa
Nipo hapa jamani mmeshafunga umeanza kusumbua sasaSesten Zakazaka na Shunie [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] mmekimbilia wapi sa?
Hahahhaha mkuu tupoKwa hali kama hiyo hutawaona tena watasingizia wako kwenye majukumu mengine
Basi mnapendelewa wenzetu. Sisi naona utarudi jioni.Hahahah uzunguni my foot tunaishi kwa mtogole huku
Najisikia vizuri sana yaaniUuuuuuhhhh. Nafsi imepoa sasa. [emoji23][emoji23][emoji23]
Unajisikiaje lakini kwa moyo Dada? [emoji12][emoji12][emoji12]
Jana sisi kwetu walikua wanakata mara kwa maraBasi mnapendelewa wenzetu. Sisi naona utarudi jioni.
Acha tu. 💃💃💃💃💃Kama nakuona
Hahahaa. Mwenzenu nilikuwa navujiwa kupata matokeo halafu kina Mwl Kashasha siwaoni. 🙈Nipo hapa jamani mmeshafunga umeanza kusumbua sasa
Dada Kweliii? 😳Najisikia vizuri sana yaani
Basi wamehamia kwetu leo. Maana hata usiku waliuchukua tukalala na giza hadi saa sita.Jana sisi kwetu walikua wanakata mara kwa mara
Hahhaha nimekuja sasaHahahaa. Mwenzenu nilikuwa navujiwa kupata matokeo halafu kina Mwl Kashasha siwaoni. [emoji85]
Nipo mkuu, nafurahia tu raha anayonipa yanga, toka aanze safari kuona watu wanavyoipokea huko njiani mpaka kufika arusha nikajikuta nadondosha machozi.Hahahhaha mkuu tupo
Unataka nikwambie najisikia vibaya ili unicheke si ndio maana yako hiyoDada Kweliii? [emoji15]
Aiseee sijui wana mgawo wa kimyakimyaBasi wamehamia kwetu leo. Maana hata usiku waliuchukua tukalala na giza hadi saa sita.
Dkk ya ngapi sasa?Hahhaha nimekuja sasa
Itakuwa maana hauna hata taarifa.Aiseee sijui wana mgawo wa kimyakimya