ISififike siku ya mechi majukwaa yakawa emteHiyo
yanga sasahivi hatutakiwi kuwazungumzia simba,tutawazungumzia kwa mechi zinazotihusunao tu! sasahivi ni mpira mpera tu.Usiwe serious
Utani wa jadi laZima upite kidogo
Kama kuongeza angeongeza Match ya Makocha Nabi na Gamondi, nimekuelewa Mkuu, alianza vzrmh! mi ni yanga lkn ndugu umeandika kizwazwa sana sasa hao makolo umewataja wakazi gani!, taarifa ilitakiwa iseme tu hiyo mechi ticket zimeuzwa zote full stop!.
Hahahahaha, sawa sawa imekaa vzrUsiwe serious
Utani wa jadi laZima upite kidogo
Wanainchi safi Sana.Mechi ya Yanga na Kaizer chiefs imevunjwa record ya soccer la south Africa kuuzwa zote kabla ya siku mbili ya mchezo.
Unaambiwa mtaani watu wa South Africa wanahamu sana kuitazama team kubwa Africa Young Africans
Wanataka wamuone Aziz ki, Chama, mudathir n.k
Hii team ya Young Africans ishakuwa team kubwa Africa wamefanya pre season kubwa, wamecheza na team ya Bundasliga na zingine za South Africa
Mbumbumbu huko Egypt wao ni kucheza na team dhaifu za wanafunzi wa vyuo vya Madrasa na matokeo kuwa ya kificho wakitaka mashabiki wa Simba wasione.
Go Yanga tuwakilishe
Wanachezea Mji mwingine sio SowetoNakumbuka mara ya mwisho ubwela fc aka sanda huu uwanja walipigwa 4 kavu π€£ππππππ jumapili tutawafundisha jinsi ya kucheza boli
Kumbeee π€£πWanachezea Mji mwingine sio Soweto
Wangetuweka pale tuwashikishe adabu hawajataka kufungwa home wameenda nje ya mji huko ndio Uwanja unachukua watu 46,000 ule wa soweto ni mkubwa..Kumbeee π€£π