Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Huku walipotupeleka tutawafunga nyingiWangetuweka pale tuwashikishe adabu hawajataka kufungwa home wameenda nje ya mji huko ndio Uwanja unachukua watu 46,000 ule wa soweto ni mkubwa..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huku walipotupeleka tutawafunga nyingiWangetuweka pale tuwashikishe adabu hawajataka kufungwa home wameenda nje ya mji huko ndio Uwanja unachukua watu 46,000 ule wa soweto ni mkubwa..
Gemu jumapili dada usiende kesho Uwanjani..Mimi princess Arry shabiki kindaki ndaki wa Yanga! Naomba kesho tuwapige Kaizer Chief kichapo cha kizalendo. Undugu tuweke pembeni!
Tukialikwa tualikike
Cheki huyu anavyokurupuka hajui hata chama lake linakipiga lini....Mimi princess Arry shabiki kindaki ndaki wa Yanga! Naomba kesho tuwapige Kaizer Chief kichapo cha kizalendo. Undugu tuweke pembeni!
Tukialikwa tualikike
WATU WAJF BWANA!! Mnakuja juu kisa vitu ndogo ndogo kwani hakunaga kusahau siku mzeeCheki huyu anavyokurupuka hajui hata chama lake linakipiga lini....
Ila ya Simba anavyo yafatilia
....ya sanda mala oooh kimbu ndenichi
Na ni moja ya viwanja vizuri SA maana ni Uwanja ambao Timu ya Rugby inautumia hapo una seat nzuri na majukwaa yenye viwango..WATU WAJF BWANA!! Mnakuja juu kisa vitu ndogo ndogo kwani hakunaga kusahau siku mzee
AU unadhani tunalala tunaamka kama walimu na wanafunzi kusema tunazingatia tarehe na siku za mwaka mzima???
Haya wanacheza Tarehe 28/07/2024 Saa 10:00 uwanja wa. TOYOTA STADIUM /BLOEMFOntein SOUTH AFRICA
-Kombe la Toyota
- uwanja unauwezo wa kubeba watu 46000 na tayari Ticket - Soldout
Ndio ile walioroga mchana kweupe na matunguli uwanjani? 🤣Nakumbuka mara ya mwisho ubwela fc aka sanda huu uwanja walipigwa 4 kavu 🤣😁😁😁😁😁😁 jumapili tutawafundisha jinsi ya kucheza boli
Ndio ndio hiyo 😁😂😂😂Ndio ile walioroga mchana kweupe na matunguli uwanjani? 🤣
Ulijizima data sio,WATU WAJF BWANA!! Mnakuja juu kisa vitu ndogo ndogo kwani hakunaga kusahau siku mzee
AU unadhani tunalala tunaamka kama walimu na wanafunzi kusema tunazingatia tarehe na siku za mwaka mzima???
Haya wanacheza Tarehe 28/07/2024 Saa 10:00 uwanja wa. TOYOTA STADIUM /BLOEMFOntein SOUTH AFRICA
-Kombe la Toyota
- uwanja unauwezo wa kubeba watu 46000 na tayari Ticket - Soldout
Kwahiyo tiketi hazijaisha?Acha kudanganya watu wewe chura 🐸 ..
"Not only are fans guaranteed live entertainment by renowned artists and two football matches on match day, but there’s also an exciting prize give-away, which will see one lucky fan leave the Toyota stadium with a brand-new Toyota Corolla Cross XI CVT worth over R400 000"View attachment 3053288
La foma gold..Sanda FC watakuja kutoa povu hapa soon jiandae
Mechi za kuangalia YoutubeSanda fc wanajinasibu wameshinda goli 3 huko ijipti.
Zimeisha ila sababu kubwa si Yanga.Kwahiyo tiketi hazijaisha?
Sababu ni nini?Zimeisha ila sababu kubwa si Yanga.