Mechi ya Yanga vs kaiza chiefs, tiketi zote SOLD OUT, wa south wana hamu ya kuitazama Yanga

Nakumbuka mara ya mwisho ubwela fc aka sanda huu uwanja walipigwa 4 kavu 🤣😁😁😁😁😁😁 jumapili tutawafundisha jinsi ya kucheza boli
Kwenye mechi ya kirafiki? Kweli wenye akili ni wawili na Magoma😄
 
Ingekuwa shida ya wa South ni kuiona Yanga basi wangejaa siku ya mechi za Yanga v Augsburg na Yanga v TS Galaxy.

Lakinbi viwanja vilikuwa vitupu hakuna mashabiki.

Kwakuwa Kaizer Chiefs ndiyo timu yenye mvuto pale Bondeni ndiyo maana mashabiki watajaa uwanjani. Kaizer Chiefs na Orlando Pirates ni kama Simba na Yanga hapa Bongo.

Hao wamejaa kuiona timu yao ya Kaizer Chiefs baada ya kuwa na kocha mpya maana imepitia kipindi kigumu mno hadi kwenye msimamo wa ligi haipo top 5.
 
Acha uongo, Yanga ikienda south watu wanabubujikwa na machozi wakimlilia kumuona Mzize na wenzie kina max.
Yanga hakuna mechi SA hajajaza, huwa kunajaa hadi nje.
 
Umeshawahi kujiuliza kwanini Yanga akicheza na 'Lipuli' mechi inakuwa haina watu wengi ukilinganisha na Yanga akicheza na 5imba au Azam?

Yanga na Augsburg, timu zote hizi ni za nje ya Afrika kusini, huwezi linganisha idadi ya watazamaji wakati timu yao pendwa (Keizer) inapocheza na Yanga iliyodhurumiwa GOLI wakati ikicheza na Masandawana...!!
 
Acha uongo, Yanga ikienda south watu wanabubujikwa na machozi wakimlilia kumuona Mzize na wenzie kina max.
Yanga hakuna mechi SA hajajaza, huwa kunajaa hadi nje.
Mbumbumbu huko Egypt wamecheza na teams Gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…