Mechi ya Yanga vs kaiza chiefs, tiketi zote SOLD OUT, wa south wana hamu ya kuitazama Yanga

Ubaya ubwela. Safari hii tarehe nane litawakuta jambo la kitarehe kama lile la tarehe 5. Subiria ubaya ubwelai..!!
Umepata siti namba ngapi mkuu? Maana nasikia kuna fujo baleke amepunga mkono watu wamezimia kwa kushangilia.
 
Hukutaka kuwa sehemu ya historia ya mapinduzi ya soka SA? Kinachoendelea ni kikubwa mno, vyombo vya habari dunia nzima vimeelekezwa SA.
Hakika habari kubwa mtandaoni ni kuhusu mechi ya young Africans vs Kaizer chiefs
 
Reactions: Tsh
Hukutaka kuwa sehemu ya historia ya mapinduzi ya soka SA? Kinachoendelea ni kikubwa mno, vyombo vya habari dunia nzima vimeelekezwa SA.
Uwepo wa vyombo vya habari ndo unafanya wengine wasiende..!! Siyo kule kwingine mechi haitangazwi popote zaidi ya wale wahuni wa youtube
 
Uwepo wa vyombo vya habari ndo unafanya wengine wasiende..!! Siyo kule kwingine mechi haitangazwi popote zaidi ya wale wahuni wa youtube
Bbc, cnn, tv za urusi na north korea uchambuzi upo live tangu jana.
 
UbayaUBWELA#
Uzi bila picha👹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…