Mechi ya Yanga vs kaiza chiefs, tiketi zote SOLD OUT, wa south wana hamu ya kuitazama Yanga

HAHHAHAHAHA eti mbumbumbu wanacheza na team za vyuo vya madrasa!hahahah
 
Utalipiaje mabango wakati una sonona, moyo unavuja damu, huna hela, mchezaji ambaye ni nembo ya klabu anakwenda kwa mpinzani?
Mhemuko (wa furaha?) utoke wapi kwa hali kama hii?
Amezungumzia kipindi cha ushindi wa goli 6, Soma taratibu mkuu utaelewa. Hapa umehemka kama wakati wa kulipia bango.
 
Kwahiyo tumekubaliana kwamba waSouth wanaenda kuiona timu yao ya Kaizer na sio Yanga.

Manake umethibitisha mwenyewe kwamba mechi mbili alizocheza Yanga watazamaji walikuwaa wachache.

Kama watazamaji wangekuwa wanavutiwa na Yanga manake wangejaza uwanja bila kujali anacheza na nani as long as Yanga anacheza.
 
Ni kweli, maana Kaizer anacheza na Kaizer..!!
 
🤣🤣🤣Eti wanafunzi wa madrasa🤣🤣. Hongereni yanga kwa pre-season nzuri.
Tukutane kwenye ligi.
 
Waalimu huwa mnaandika maandishi mengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…