Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tarehe 8 ndio utajua kama ni utani
😅😅😅Unaona SasaNikiri tu, ni kweli nina hofu na tarehe 8 maana tuna timu mpya na sijajua kama wanajua uzito wa hii mechi na kama kocha kaweza kuunganisha timu.
Ila usijiamini kupita kiasi, huu ni mpira na huendi kucheza na Chura queens, unakutana na mnyama mwenye kikosi kipya.
Huo ni uhalisia, tuna kikosi kipya na hatujui kama kimeshakuwa timu au tunaenda kutegemea uwezo wa mchezaji mmoja mmoja.😅😅😅Unaona Sasa
Umeanza kukubali.
Kula goti litapigwa
wamecheza na wauza kachori wa ijiptiSanda fc wanajinasibu wameshinda goli 3 huko ijipti.
Ndg tuulize tunaofuatilia SPL ,pirates ,kaizer ni kawaida kujaza uwanja sio jambo la yanga wala team yoyote hizo team zina wanachama kindakindaki ,waliokaa south wanajua nachokisemaMechi ya Yanga na Kaizer chiefs imevunjwa record ya soccer la south Africa kuuzwa zote kabla ya siku mbili ya mchezo.
Unaambiwa mtaani watu wa South Africa wanahamu sana kuitazama team kubwa Africa Young Africans
Wanataka wamuone Aziz ki, Chama, mudathir n.k
Hii team ya Young Africans ishakuwa team kubwa Africa wamefanya pre season kubwa, wamecheza na team ya Bundasliga na zingine za South Africa
Mbumbumbu huko Egypt wao ni kucheza na team dhaifu za wanafunzi wa vyuo vya Madrasa na matokeo kuwa ya kificho wakitaka mashabiki wa Simba wasione.
Go Yanga tuwakilishe
Lakini na wewe una shauku ya kuitazama mechi ya keshoNdg tuulize tunaofuatilia SPL ,pirates ,kaizer ni kawaida kujaza uwanja sio jambo la yanga wala team yoyote hizo team zina wanachama kindakindaki ,waliokaa south wanajua nachokisema
1976 Yanga walifungwa 6 na Sanda kwasababu wachezaji wote wa Yanga walikuwa wamefukuzwa na hivyo kuchezesha Yanga B. Sanda FC walifurahi sanaaa kwa hattrick ya Kibadeni.Huo ni uhalisia, tuna kikosi kipya na hatujui kama kimeshakuwa timu au tunaenda kutegemea uwezo wa mchezaji mmoja mmoja.
Yule atawakandaHata Deborah humwamini😅
Uzuri Furaha yetu haina mihemko, kuna wale wanachemka mpaka wanalipia mabango.1976 Yanga walifungwa 6 na Sanda kwasababu wachezaji wote wa Yanga walikuwa wamefukuzwa na hivyo kuchezesha Yanga B. Sanda FC walifurahi sanaaa kwa hattrick ya Kibadeni.
Subirini Agosti 8 kisasi kilipwe.
Natabiri hattrick ya Dube.
Utalipiaje mabango wakati una sonona, moyo unavuja damu, huna hela, mchezaji ambaye ni nembo ya klabu anakwenda kwa mpinzani?Uzuri Furaha yetu haina mihemko, kuna wale wanachemka mpaka wanalipia mabango.
Just convert furaha ya wana Yanga kuwa cash au kuwa anything ambacho kitakupa uelewa wa faida iliyopatikana..!! Si kila faida ipo kwenye monetary value, nyingine ni emotional, dignity, satisfaction etc..!! Makolo mna shida sana.Halafu Club mkatengeneza faida kiasi gani mwisho wa mwaka? Vyura manara alijua kuwaweza.
Kibu muruaJust convert furaha ya wana Yanga kuwa cash au kuwa anything ambacho kitakupa uelewa wa faida iliyopatikana..!! Si kila faida ipo kwenye monetary value, nyingine ni emotional, dignity, satisfaction etc..!! Makolo mna shida sana.
Umeongea kiuanamichezo sana..!! Hatua mojawapo kwenye entire process ya mabadiliko, ni kukubali wapi una changamoto. Usipozikubali changamoto zako, hutachukua hatua kuzikabili..!!Huo ni uhalisia, tuna kikosi kipya na hatujui kama kimeshakuwa timu au tunaenda kutegemea uwezo wa mchezaji mmoja mmoja.
Ile tulimfanyia Mamelodi wasauz wakaukubali muziki, na hii Augsburg na TS Galaxy wameona hii ni timu kubwa.Mechi ya Yanga na Kaizer chiefs imevunjwa record ya soccer la south Africa kuuzwa zote kabla ya siku mbili ya mchezo.
Unaambiwa mtaani watu wa South Africa wanahamu sana kuitazama team kubwa Africa Young Africans
Wanataka wamuone Aziz ki, Chama, mudathir n.k
Hii team ya Young Africans ishakuwa team kubwa Africa wamefanya pre season kubwa, wamecheza na team ya Bundasliga na zingine za South Africa
Mbumbumbu huko Egypt wao ni kucheza na team dhaifu za wanafunzi wa vyuo vya Madrasa na matokeo kuwa ya kificho wakitaka mashabiki wa Simba wasione.
Go Yanga tuwakilishe
TaichekiKesho saa 10 jioni
Simba huwa inakuchomachoma kama umekalia kipisi cha mbooooga ya majani eehMechi ya Yanga na Kaizer chiefs imevunjwa record ya soccer la south Africa kuuzwa zote kabla ya siku mbili ya mchezo.