NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Manara karudia Yale Yale ambayo alikuwa anafanya Nugaz, uwanja unajazwa na Mashabiki wa Simba alafu yeye anajipa pongezi Kwa kuhamasisha kujaza uwanja
Kwa hii miaka ya karibuni, game za derby zote haijarishi Simba ni mwenyeji au Yanga ni mwenyeji, bali mashabiki wa Simba watakuwa wengi tu na sijui Yanga waga kwanini hawajitokezi Kwa wingi kama kwenye siku ya wananchi
Imefkia hatua viongozi wa Yanga kama Senzo na muhamasishaji Manara wanapost picha za uongo ili kuaminisha watu kwamba mechi ya Juzi Yanga walikuwa wengi kuliko Simba, ni aibu kwa viongozi kujaribu kupotosha kwani kasumba ya Yanga kutoingia wengi kwenye derby haijaanza Leo
Senzo na Manara wanatumia picha za siku ya wananchi ya mwaka Jana kuaminisha watu kwamba walijaza uwanja kitu ambacho sio kweli, wao wajikite katika kuboresha team na washabiki watakuja Tu wenyewe kama ilipofkia Kwa mashabiki wa Simba
Simba hawajafanya promo yoyote ili mashabiki waende uwanjani hadi Bumbuli akalalamika kuwa Simba Wana roho mbaya hawataki kuipromo derby kwa sababu wanajua Yanga watapata pesa nyingi
na of course ni kweli Simba walikuwa wanajua Tu mashabiki wao ndio watajaza uwanja ata kama wao sio wenyejei na ndio kilichotokea, robo Tatu ya uwanja ilikuwa ni mashabiki wa simba, kwahiyo hii game kuongoza Kwa mapato sio ajabu maana huo ni mwendelezo wa kila msimu Kwa Yanga kunufaika na Mashabiki wa Simba
Kwahiyo kama Manara alikuaga anadhania mashabiki wa Simba wanajaa uwanjani Kwa ajili yake alikuwa anapotea, pamoja na kufanya tour kila Media ila alichoambulia ni number ile ile ya siku zote Kwa mashabiki wa Yanga, Kwa lugha rahisi zaidi ni kwamba katika swala la mashabiki kuingia uwanjani hajapunguza chochote kwa Simba na wala hajaongeza chochote kwa Yanga
View attachment 2208272
View attachment 2208273
Wewe ni wa kupuuzwa,wewe si ndio uliesema humu Yanga msimu uliopita iliongoza kwa mapato sababu match zote za 2 derby makolo mlikua wengi na makolo wenzako wakakupa like za kumwaga kama vile derby zote za last season mapato alichukua Yanga!Acha ujinga wewe, kwahiyo we unaona kuna haja ya kuzoom hiyo picha? We huoni Kama Robo Tatu ya Mashabiki wa Simba wamejaa Hadi kwenye jukwaa la Yanga?
Nikizoom ndio mashabiki wa Yanga watajaa kwenye picha? Au umeangalia picha ulizopostiwa na Manara za siku ya wananchi ndio unadhania za derby ya Juzi, nendeni uwanjani sio maneno mengi jamii forum alafu uwanjani hamuendi
Sio wa kupuuzwa, leta ushahidi wa kusema kuwa kuna derby ambayo Yanga aliingiza mashabiki wengi kuliko wa SimbaWewe ni wa kupuuzwa,wewe si ndio uliesema humu Yanga msimu uliopita iliongoza kwa mapato sababu match zote za 2 derby makolo mlikua wengi na makolo wenzako wakakupa like za kumwaga kama vile derby zote za last season mapato alichukua Yanga!
Nachokuuliza hizo derby zote 2 mapato yote yalienda kwa Yanga?then angalia picha ya derby ya juzi angalia kwenye viti vya kijani upande wa kolo' na upande wa Wananchi utapata jibu,na ndio maana nasema ukuwepo uwanjaniSio wa kupuuzwa, leta ushahidi wa kusema kuwa kuna derby ambayo Yanga aliingiza mashabiki wengi kuliko wa Simba
Na kweli Yanga anaongoza mapato Kwa sababu Simba ndio wanamsaidia, last season Yanga kamzidi Simba idadi ya kuingiza mashabiki Kwa tofauti ya watu 3000
Lakini mechi zote za derby Simba wanaingia robo Tatu, maana yake kama uwanja uliingiza watazamaji 40000 basi wa Simba ni 30000, kwahiyo hela mnazotamba kuizidi Simba mnazipata kupitia hao hao Simba
Kama hamtaki leteni takwimu ni derby ipi mliwahi kuwa wengi uwanjani kuliko Simba, na mkitaka tusiende mbali leteni statistics za mechi ambazo Simba haihusiki tuone kama mna uwezo wa kuingiza ata mashabiki 25000 Tu tofauti na mwanachi day
Si mnashirki nanyie club bingwa na shirikisho ni lini mlijaza uwanja katika mashindano hayo? Tofauti na ile game na Tp mazembe ambapo Manji aliwaingiza Bure, tofauti na hapo hakuna ata game moja ya kimataifa mmejaza uwanja
Nyie kujaza uwanja ni Hadi muwe kwenye bonanza lenu au hadi mcheze na simba na mkicheza na Simba, wanaojaza uwanja ni Simba, Simba ishazoea issue za kujaza uwanja haijarishi inacheza na Nani
Nendeni uwanjani mkaipe support team yenu kwenye game za derby sijui waga mnaogopa nini ilhali team inafanya vizuri, kelele nyiiiingi za kuingiza mapato mengi kupitia mashabiki wa team pinzani
Mkuu hebu tazama hiyo picha alafu unieleweshe hao mashabiki wengi unaowasema wewe unaona wamekaa jukwaa lipi?Kwa mechi ya juzi Yanga walikuwa wengi kiasi kuliko Simba
We jamaa kumbe ni mgeni wa uwanja wa Taifa na wala huendagi uwanjani, hujui kama huo upande ni upande wa Yanga?Nachokuuliza hizo derby zote 2 mapato yote yalienda kwa Yanga?then angalia picha ya derby ya juzi angalia kwenye viti vya kijani upande wa kolo' na upande wa Wananchi utapata jibu,na ndio maana nasema ukuwepo uwanjani
View attachment 2208636
Kweli manara alikuwa sahihi kusema yanaga wenye akili ni Jakaya na baba yake,mliobaki wengine takatakaHapa ndipo inapojulikana tofauti Kati ya timu ya WANANCHI na timu ndogo ndogo ( vikundi vya wahuni).
Derby ya YANGA vs SIMBA ambayo mwenyeji wake alikuwa Ni MWANANCHI imefanikiwa kuingiza pesa ndefu kuliko mechi zote msimu wa 2021/2022 hata zile za MAKOLO walizocheza kule mjini CAF mechi ya yanga vs makolo imeingiza 320million
Zifuatazo Ni takwimu za mapato
Dec 11, 2021.....ligi kuu
Simba 0 vs yanga 0 ____Tsh.257m
April 17, 2022 shirikisho
Simba 1___orlando 0 ____Tsh. 197m
April 30, 2022
Yanga 0___0simba ___Tsh 320m
Source: haji s manara
Kitaalamu tunaitaje hii?View attachment 2208255
Mbona shabiki wengi wa simba walijaa hadi sehem ya uto?Kwa mechi ya juzi Yanga walikuwa wengi kiasi kuliko Simba
Kwa hiyo mnakuwa na mvuto mnapocheza na simba tu maana mlivyocheza na Azam, Namungo, Rivers utd hatujaona mkijivunia takwimu za mapato?Hii ipo wazi Yanga msimu huu tuko bizuri sana na hii ni kutokana na quality ya wachezaji
Ushahidi huanzia mtaani huku kwetu siku ya game yeyote ya Yanga tunajazana balaa wasabiki wa Yanga na Simba lakini siku ya game yoyote simba watu hawajitokezi kwa wingi hata wa simba wenyewe! Labda tu ile michuano ya Caf
Yanga hii ina mvuto,ukitaka thibitisha hilo pimia hizi game za kesho na keshokutwa Namungo vs Simba,..na Ruvu shooting vs Yanga
Uwanja umegawanyika hapo,halafu angalia kule juu green uone wapi kuna gap,eti makolo.walijaa hadi sehemu ya uwanja!