Mechi ya YANGA yaingiza mapato zaidi kuliko mechi za Simba, hata zile za CAF

Mechi ya YANGA yaingiza mapato zaidi kuliko mechi za Simba, hata zile za CAF

Haji kaona mapato ya Simba mechi moja tu ya Simba Vs Olrando milioni 197tsh.
Simba imecheza mechi ngapi kwa Mkapa za CAF na imeingiza kiasi gani?,alafu aweke na mapato ya Utopolo kama yapo kwenye michuano ya CAF imeingiza kiasi gani msimu huu?.

kwenye mapato ya viingilio Simba inapesa zaidi ya timu zote Tanzania kwasababu ya Simba kucheza mechi nyingi za CAF kuliko Utopolo.
 
Kwa mechi ya juzi Yanga walikuwa wengi kiasi kuliko Simba
Manara karudia Yale Yale ambayo alikuwa anafanya Nugaz, uwanja unajazwa na Mashabiki wa Simba alafu yeye anajipa pongezi Kwa kuhamasisha kujaza uwanja

Kwa hii miaka ya karibuni, game za derby zote haijarishi Simba ni mwenyeji au Yanga ni mwenyeji, bali mashabiki wa Simba watakuwa wengi tu na sijui Yanga waga kwanini hawajitokezi Kwa wingi kama kwenye siku ya wananchi

Imefkia hatua viongozi wa Yanga kama Senzo na muhamasishaji Manara wanapost picha za uongo ili kuaminisha watu kwamba mechi ya Juzi Yanga walikuwa wengi kuliko Simba, ni aibu kwa viongozi kujaribu kupotosha kwani kasumba ya Yanga kutoingia wengi kwenye derby haijaanza Leo

Senzo na Manara wanatumia picha za siku ya wananchi ya mwaka Jana kuaminisha watu kwamba walijaza uwanja kitu ambacho sio kweli, wao wajikite katika kuboresha team na washabiki watakuja Tu wenyewe kama ilipofkia Kwa mashabiki wa Simba

Simba hawajafanya promo yoyote ili mashabiki waende uwanjani hadi Bumbuli akalalamika kuwa Simba Wana roho mbaya hawataki kuipromo derby kwa sababu wanajua Yanga watapata pesa nyingi

na of course ni kweli Simba walikuwa wanajua Tu mashabiki wao ndio watajaza uwanja ata kama wao sio wenyejei na ndio kilichotokea, robo Tatu ya uwanja ilikuwa ni mashabiki wa simba, kwahiyo hii game kuongoza Kwa mapato sio ajabu maana huo ni mwendelezo wa kila msimu Kwa Yanga kunufaika na Mashabiki wa Simba

Kwahiyo kama Manara alikuaga anadhania mashabiki wa Simba wanajaa uwanjani Kwa ajili yake alikuwa anapotea, pamoja na kufanya tour kila Media ila alichoambulia ni number ile ile ya siku zote Kwa mashabiki wa Yanga, Kwa lugha rahisi zaidi ni kwamba katika swala la mashabiki kuingia uwanjani hajapunguza chochote kwa Simba na wala hajaongeza chochote kwa Yanga
View attachment 2208272
View attachment 2208273
 
Acha ujinga wewe, kwahiyo we unaona kuna haja ya kuzoom hiyo picha? We huoni Kama Robo Tatu ya Mashabiki wa Simba wamejaa Hadi kwenye jukwaa la Yanga?

Nikizoom ndio mashabiki wa Yanga watajaa kwenye picha? Au umeangalia picha ulizopostiwa na Manara za siku ya wananchi ndio unadhania za derby ya Juzi, nendeni uwanjani sio maneno mengi jamii forum alafu uwanjani hamuendi
Wewe ni wa kupuuzwa,wewe si ndio uliesema humu Yanga msimu uliopita iliongoza kwa mapato sababu match zote za 2 derby makolo mlikua wengi na makolo wenzako wakakupa like za kumwaga kama vile derby zote za last season mapato alichukua Yanga!
 
Sio wa kupuuzwa, leta ushahidi wa kusema kuwa kuna derby ambayo Yanga aliingiza mashabiki wengi kuliko wa Simba

Na kweli Yanga anaongoza mapato Kwa sababu Simba ndio wanamsaidia, last season Yanga kamzidi Simba idadi ya kuingiza mashabiki Kwa tofauti ya watu 3000

Lakini mechi zote za derby Simba wanaingia robo Tatu, maana yake kama uwanja uliingiza watazamaji 40000 basi wa Simba ni 30000, kwahiyo hela mnazotamba kuizidi Simba mnazipata kupitia hao hao Simba

Kama hamtaki leteni takwimu ni derby ipi mliwahi kuwa wengi uwanjani kuliko Simba, na mkitaka tusiende mbali leteni statistics za mechi ambazo Simba haihusiki tuone kama mna uwezo wa kuingiza ata mashabiki 25000 Tu tofauti na mwanachi day

Si mnashirki nanyie club bingwa na shirikisho ni lini mlijaza uwanja katika mashindano hayo? Tofauti na ile game na Tp mazembe ambapo Manji aliwaingiza Bure, tofauti na hapo hakuna ata game moja ya kimataifa mmejaza uwanja

Nyie kujaza uwanja ni Hadi muwe kwenye bonanza lenu au hadi mcheze na simba na mkicheza na Simba, wanaojaza uwanja ni Simba, Simba ishazoea issue za kujaza uwanja haijarishi inacheza na Nani

Nendeni uwanjani mkaipe support team yenu kwenye game za derby sijui waga mnaogopa nini ilhali team inafanya vizuri, kelele nyiiiingi za kuingiza mapato mengi kupitia mashabiki wa team pinzani
 
Nachokuuliza hizo derby zote 2 mapato yote yalienda kwa Yanga?then angalia picha ya derby ya juzi angalia kwenye viti vya kijani upande wa kolo' na upande wa Wananchi utapata jibu,na ndio maana nasema ukuwepo uwanjani

Screenshot_20220502-151137_YouTube.jpg
 
Kwa mechi ya juzi Yanga walikuwa wengi kiasi kuliko Simba
Mkuu hebu tazama hiyo picha alafu unieleweshe hao mashabiki wengi unaowasema wewe unaona wamekaa jukwaa lipi?

Me hapo naona mashabiki wa Simba ni wengi Hadi wamekaa kwenye jukwaa la Yanga, we unaona vipi mkuu?
Screenshot_2022-05-02-09-35-25-654_com.instagram.android.jpg
 
Nachokuuliza hizo derby zote 2 mapato yote yalienda kwa Yanga?then angalia picha ya derby ya juzi angalia kwenye viti vya kijani upande wa kolo' na upande wa Wananchi utapata jibu,na ndio maana nasema ukuwepo uwanjani

View attachment 2208636
We jamaa kumbe ni mgeni wa uwanja wa Taifa na wala huendagi uwanjani, hujui kama huo upande ni upande wa Yanga?

Ukiona Simba wamefika hadi huko ujue kwamba Mashabiki wa Yanga ni wachache, unaleta kapicha kanakoonesha robo ya uwanja Tu me nimeleta picha inayoonesha uwanja mzima, leta picha inayoonesha uwanja mzima alafu tuangalie kama nyie mlikuwa wengi

Na kuhusu kuingia uwanjani, me tangu nihamie Dar naingia derby zote tangu mwaka 2016, na tangu mwaka huo hakuna ata Derby moja ambayo mashabiki wa Yanga walikuwa wengi kuliko wa Simba, HAKUNAAAAA

Narudia tena kukuwekea picha inayoonesha uwanja mzima nawewe katafute yako ulete hapa, na usilete Ile aliyopost Manara ya siku wa wanachi Kwa kukwepa aibu, maana yeye na Bumbuli wamezunguka media zote kufanya promo na bado mashabiki mmeingia kama vile mnaenda kuaga maiti
Screenshot_2022-05-02-09-35-25-654_com.instagram.android.jpg
 
Hapa ndipo inapojulikana tofauti Kati ya timu ya WANANCHI na timu ndogo ndogo ( vikundi vya wahuni).

Derby ya YANGA vs SIMBA ambayo mwenyeji wake alikuwa Ni MWANANCHI imefanikiwa kuingiza pesa ndefu kuliko mechi zote msimu wa 2021/2022 hata zile za MAKOLO walizocheza kule mjini CAF mechi ya yanga vs makolo imeingiza 320million

Zifuatazo Ni takwimu za mapato

Dec 11, 2021.....ligi kuu
Simba 0 vs yanga 0 ____Tsh.257m

April 17, 2022 shirikisho
Simba 1___orlando 0 ____Tsh. 197m

April 30, 2022
Yanga 0___0simba ___Tsh 320m

Source: haji s manara

Kitaalamu tunaitaje hii?View attachment 2208255
Kweli manara alikuwa sahihi kusema yanaga wenye akili ni Jakaya na baba yake,mliobaki wengine takataka
 
Kinacho fanya Simba isipate mapato mengi katika Mechi zake ni ununuaji wa Tiketi.
Mashabiki wa Simba wengi wananunua tiketi za Magumashi zinazouzwa pale uwanjani.
Tofauti na Washabiki wa Yangu huwa wagumu kununua tiketi za mikononi.
Ndio maana Walanguzi wa Tiketi wanachukia sana Mechi za Yanga coz ngumu kupata Pesa. Walanguzi wanadai kua mshabiki wa Yanga yupo tayari kukaa foleni kusubili Tiketi hata kama Mpira umeanza,ilihali washabiki wa Simba hawapo hivyo.
 
Mechi ya YANGA yaingiza mapato zaidi kuliko mechi za Simba...hata zile za CAF​

Mada inaelekeza hivi makolo bisheni kwa fact

Mechi ya YANGA yaingiza mapato zaidi kuliko mechi za Simba...hata zile za CAF​

Hii ipo wazi Yanga msimu huu tuko bizuri sana na hii ni kutokana na quality ya wachezaji

Ushahidi huanzia mtaani huku kwetu siku ya game yeyote ya Yanga tunajazana balaa wasabiki wa Yanga na Simba lakini siku ya game yoyote simba watu hawajitokezi kwa wingi hata wa simba wenyewe! Labda tu ile michuano ya Caf

Yanga hii ina mvuto,ukitaka thibitisha hilo pimia hizi game za kesho na keshokutwa Namungo vs Simba,..na Ruvu shooting vs Yanga
 
Kwa hiyo mnakuwa na mvuto mnapocheza na simba tu maana mlivyocheza na Azam, Namungo, Rivers utd hatujaona mkijivunia takwimu za mapato?
 
Back
Top Bottom