Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Hao makolo hata mkataba wa azam media Yanga wamewazidi,sema uwa wanajitoa tu ufahamuHii ipo wazi Yanga msimu huu tuko bizuri sana na hii ni kutokana na quality ya wachezaji
Ushahidi huanzia mtaani huku kwetu siku ya game yeyote ya Yanga tunajazana balaa wasabiki wa Yanga na Simba lakini siku ya game yoyote simba watu hawajitokezi kwa wingi hata wa simba wenyewe! Labda tu ile michuano ya Caf
Yanga hii ina mvuto,ukitaka thibitisha hilo pimia hizi game za kesho na keshokutwa Namungo vs Simba,..na Ruvu shooting vs Yanga
Aaaah Basi mwambie ally atuletee takwimu za timu zenu mkuu[emoji23][emoji23]Umeshahamisha magoli, mimi nimezungumzia credibility ya Haji Manara katika kutoa takwimu,mara ngapi ana kana kauli zake na kudai kuwa labda amezitoa akiwa amelewa.
Hapo imechukuliwa mechi hyo .....it means ndiyo ina mapato makubwa kuliko mech zngineHaji kaona mapato ya Simba mechi moja tu ya Simba Vs Olrando milioni 197tsh.
Simba imecheza mechi ngapi kwa Mkapa za CAF na imeingiza kiasi gani?,alafu aweke na mapato ya Utopolo kama yapo kwenye michuano ya CAF imeingiza kiasi gani msimu huu?.
kwenye mapato ya viingilio Simba inapesa zaidi ya timu zote Tanzania kwasababu ya Simba kucheza mechi nyingi za CAF kuliko Utopolo.
Mwamedi akivuta ......anaenda kukata viuno tiktok[emoji23][emoji23]Albino akipigwa na jua tu akili inachacha,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] plus mibange anayovuta ndio kabisaaaaaa
Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
Koo una maanisha Makolo hawana akili[emoji23][emoji23]Kinacho fanya Simba isipate mapato mengi katika Mechi zake ni ununuaji wa Tiketi.
Mashabiki wa Simba wengi wananunua tiketi za Magumashi zinazouzwa pale uwanjani.
Tofauti na Washabiki wa Yangu huwa wagumu kununua tiketi za mikononi.
Ndio maana Walanguzi wa Tiketi wanachukia sana Mechi za Yanga coz ngumu kupata Pesa. Walanguzi wanadai kua mshabiki wa Yanga yupo tayari kukaa foleni kusubili Tiketi hata kama Mpira umeanza,ilihali washabiki wa Simba hawapo hivyo.
Kabsa mkuuHii ipo wazi Yanga msimu huu tuko bizuri sana na hii ni kutokana na quality ya wachezaji
Ushahidi huanzia mtaani huku kwetu siku ya game yeyote ya Yanga tunajazana balaa wasabiki wa Yanga na Simba lakini siku ya game yoyote simba watu hawajitokezi kwa wingi hata wa simba wenyewe! Labda tu ile michuano ya Caf
Yanga hii ina mvuto,ukitaka thibitisha hilo pimia hizi game za kesho na keshokutwa Namungo vs Simba,..na Ruvu shooting vs Yanga
Ilikuwa dakika ya ngapi we utoUwanja umegawanyika hapo,halafu angalia kule juu green uone wapi kuna gap,eti makolo.walijaa hadi sehemu ya uwanja!
View attachment 2208810
We huona gap hapo juu kwenye jukwaa la simba?
Achana nae huyo ashavurugwa,tushawaacha point 13 na juzi badala ya kujilaumu kwa kushindwa kupunguza gap wakashangilia kwa mayele kutofunga,wameamua wajifariji kivingine ila gap 13 points linawauma sanaWe huona gap hapo juu kwenye jukwaa la simba?
simba ndo mwenyeji wa mchezo we kilaza?We huona gap hapo juu kwenye jukwaa la simba?
Koo mana yake ndio nini? Ushabiki wa kishamba huu , hata lugha ya kihuni kama wale wadada wa magomeni mapipa.Mkuu...koo unabishana na takwimu[emoji23][emoji23]