Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Hao makolo hata mkataba wa azam media Yanga wamewazidi,sema uwa wanajitoa tu ufahamuHii ipo wazi Yanga msimu huu tuko bizuri sana na hii ni kutokana na quality ya wachezaji
Ushahidi huanzia mtaani huku kwetu siku ya game yeyote ya Yanga tunajazana balaa wasabiki wa Yanga na Simba lakini siku ya game yoyote simba watu hawajitokezi kwa wingi hata wa simba wenyewe! Labda tu ile michuano ya Caf
Yanga hii ina mvuto,ukitaka thibitisha hilo pimia hizi game za kesho na keshokutwa Namungo vs Simba,..na Ruvu shooting vs Yanga