Mechi za fainali za makombe ya vilabu Afrika sasa mechi ni moja tu

Mechi za fainali za makombe ya vilabu Afrika sasa mechi ni moja tu

MO11

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2014
Posts
19,057
Reaction score
39,387
Kutokana na Simba itabeba ubingwa wa caf champions league msimu ujao sasa tumerahisishiwa

Shirikisho la soka Afrika limebadili sheria ya mechi za fainali

sasa mbungi kuputwa uwanja usio na mwenyewe
mechi itakuwa moja tu

Ahsante kwa Wydad Casablanca figisu mlizofanyiwa zitaibeba Simba

Ndala nyinyi mtashiriki tu
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙈🙈🙈🙈🙈🙈
 
Nahic hiyo itapunguza figisu za waarabu na timu kubwa pindi wawapo home grounds,,, maana inafikia hatua hadi marefa wanaaogopa wakiwa kwenye grounds za viwanja hivo
 
Mbumbumbu pekee ndio anaamini tìmu yake itacheza fainali za club bingwa Africa ikiwa timu yake wamesajili wacheza cricket wa India na wabeba ngada wa brazil
 
Mbumbumbu pekee ndio anaamini tìmu yake itacheza fainali za club bingwa Africa ikiwa timu yake wamesajili wacheza cricket wa India na wabeba ngada wa brazil
nyinyi mnasajili wachezaji wa mafungu
 
Back
Top Bottom