Mtaserebuka tu cyo lazma ashindeFuraha niliyokuwa nayo tokea asubuhi inayeyuka,Yanga fungeni mbao hapo tuserebuke sie
Hahahaah poleDah kidogo unipasue moyo kwa furaha!
Msuva alifanya ujinga kwenda kumzonga refa hadi kaanguka chini......ni busara tu za refa hajapewa kadi nyekundu....alikuwa anadai penalti.Nini tena idawa? Mimi hadi nimeacha kufuatilia huko
Refa sijui kwa nini mpaka sasa hajatoa kadi nyekundu pamoja na mdudu yote yaleYanga wanampiga refa