Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Komaeni bhana, madogo hawawezi wadhalilisha kihivyo!Mkuu dak 86 bado tunaongozwa.
Majimaji kaongeza hivyo ni 2-1Mbeya City kasawazisha,tayari anakua na point 32 badala ya 35,bado ni danger zone
Mpira umeisha huko nadhani.........33 ndio anakuwa nazoMbeya City kasawazisha,tayari anakua na point 32 badala ya 35,bado ni danger zone
Ndanda kashinda tayari, african lyon ndio bado hakieleweki. Nadhani hawatashukabrazaa,ndanda na afrca lyon wakishnda majmaj watashuka
wala haunogi mkuu!Ubingwa kwa kufungwa [emoji3]