Mechi za mwisho VPL,Vita ya ubingwa na kushuka daraja

Mechi za mwisho VPL,Vita ya ubingwa na kushuka daraja

Duh...! Yanga kwa kupiga marefarii hawajambo
 
  • Thanks
Reactions: SDG
vp miamala kwa simba,taifa..inaendlea?
Hamna kitu,sijui walipoingia vyumba vya kubadilishia Mwadui wamenyang'anywa fungu?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wameshindwa kufunga wanampiga refa ,refa anashindwa hata kutoa red card
 
Dk 78 Mcha anashishindwa kumalizia vema krosi safi ya Mudathir baada ya kupiga shuti dogo lililodakwa na kipa. Azam FC 0-1 Kagera Sugar
 
Yanga wakifungwa na Mbao hata ubingwa hauwastahili kabisa....
 
Nini tena idawa? Mimi hadi nimeacha kufuatilia huko
Msuva alifanya ujinga kwenda kumzonga refa hadi kaanguka chini......ni busara tu za refa hajapewa kadi nyekundu....alikuwa anadai penalti.

Mpira ni vurugu mtindo mmoja.
 
Yanga wanaonyesha mpira wa ajabu sana hapa!!
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Ha ha ha, refa kala hela na amebana kutoa magoli, lazima ale kichapo.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Back
Top Bottom