Mechi za mwisho VPL,Vita ya ubingwa na kushuka daraja

Mechi za mwisho VPL,Vita ya ubingwa na kushuka daraja

*************************************
YANGA BINGWA MSIMU WA 2016/2017
*************************************
FULL TIME | Simba 2 - 1 Mwadui
FULL TIME | Mbao FC 1 vs 0 Yanga
FULL TIME | Majimaji 2 vs 1 MBC
FULL TIME | Mtibwa 3 vs 1 Toto
FULL TIME | Ndanda 2 vs 0 Jkt Ruvu.
FULL TIME | Azam 0-1 Kagera Sugar
FULL TIME | Stand 1-0 Ruvu Shooting
*************************************
END OF UPDATE
*************************************
 
Naona hata baadhi ya wachezaji wa Yanga wakiwa uwanjani hawajui wafanye nini
 
Ubingwa gani huu mchachu namna hii?
Hongereni Wanayanga wenzangu,ila sina raha kabisa.
Bora nifanye mambo yangu mengine maana hata kuserebuka nashindwa.
Kwa unyoooooonge kabisa....
Cheers [emoji17] [emoji485]
 
Ubingwa gani huu mchachu namna hii?
Hongereni Wanayanga wenzangu,ila sina raha kabisa.
Bora nifanye mambo yangu mengine maana hata kuserebuka nashindwa.
Kwa unyoooooonge kabisa....
Cheers [emoji17] [emoji485]
Wametukera sana hawa wachezaji,lakini poa tu mwisho wa siku muhimu ni ubingwa tu.!
 
Hunishindi mimi,umefungwa mechi muhimu na timu hiyo hiyo na uwanja huo huo halafu tena leo wanaingia kindezi ndezi tena bila tahadhari wala plan B
Kuna vitu vinakwaza Sana, yaani kisaikolojia Tu ilikua tumeshawafunga hawa Mbao. Sasa kwa mpira huu tukikutana na Timu za waarabu tutatoka? Au ndio kama kila siku kwenda kuwasindikiza Tu wenzetu kwenye tournament?
 
daah yani Yanga wanapewa kombe wapige nalo picha halafu linaenda MSIMBAZI[emoji23] [emoji23] [emoji23]

KWELI KUWA SHABIKI WA VYURA FC[emoji196] [emoji196] INAHITAJI AKIL ZA ZIADA
Hahahaah
 
Ubingwa gani huu mchachu namna hii?
Hongereni Wanayanga wenzangu,ila sina raha kabisa.
Bora nifanye mambo yangu mengine maana hata kuserebuka nashindwa.
Kwa unyoooooonge kabisa....
Cheers [emoji17] [emoji485]
Uzalendo kwanza, mbona wana Yanga mna wasiwasi na shamra-shamra zimepungua? Au Fifa kumejibu nini hah hah tuwekeni wazi jamani na sisi!
 
VYURA HAWANA FURAHA SABABU HAWAJIAMINI KAMA WAMEKUWA MABINGWA

WASHAJUA UBINGWA UNA HATIHATI WANAWEZA JIFANYA WANASEREBUKA HALAFU WAKAJA UMBUKA
 
sasa timu kubwa Kama ndo tunazitegemea kwenye michezo ya kimataifa lakini hazina hata chembe ya nidhamu.

Yaani unalipa pesa yako ukitegemea kuona mchezo mzuri na mtulivu kumbe sio hivyo ulivodhania ni aibu tupu.
 
Back
Top Bottom