Masao BWIREHivi msemaji wa jkt ruvu ni nani vile?
TOTO, JKT na AFRICAN LYONJamani Walioshuka Daraja Akina Nani?
Hunishindi mimi,umefungwa mechi muhimu na timu hiyo hiyo na uwanja huo huo halafu tena leo wanaingia kindezi ndezi tena bila tahadhari wala plan BDah, Yanga wamenikera Sana Leo.
Asante MkuuWalioshuka ni JKT, TOTO AFRICA na AFRICAN LYON
Asante Mkuu ila hawa Mbao sio mchezo mchezo.Hahahaah poleni na kipigo.........na hongereni kwa ubingwa.!
Hiyo kwa muda tu. Watarejesha pale msimbaziWatu wameshakabidhiwa tayari
Watachelewa kidogo maana wameenda kwa GariWewe Jamaa wameenda FIFA.
Sio masau bwire,, masau bwire ni wa Ruvu shooting…!!Masao BWIRE
Wametukera sana hawa wachezaji,lakini poa tu mwisho wa siku muhimu ni ubingwa tu.!Ubingwa gani huu mchachu namna hii?
Hongereni Wanayanga wenzangu,ila sina raha kabisa.
Bora nifanye mambo yangu mengine maana hata kuserebuka nashindwa.
Kwa unyoooooonge kabisa....
Cheers [emoji17] [emoji485]
HahahaahaaYanga anakabidhiwa kombe, wale walioenda Fifa sijui watapewa kombe gani.
Kuna vitu vinakwaza Sana, yaani kisaikolojia Tu ilikua tumeshawafunga hawa Mbao. Sasa kwa mpira huu tukikutana na Timu za waarabu tutatoka? Au ndio kama kila siku kwenda kuwasindikiza Tu wenzetu kwenye tournament?Hunishindi mimi,umefungwa mechi muhimu na timu hiyo hiyo na uwanja huo huo halafu tena leo wanaingia kindezi ndezi tena bila tahadhari wala plan B
Hahahaahdaah yani Yanga wanapewa kombe wapige nalo picha halafu linaenda MSIMBAZI[emoji23] [emoji23] [emoji23]
KWELI KUWA SHABIKI WA VYURA FC[emoji196] [emoji196] INAHITAJI AKIL ZA ZIADA
Uzalendo kwanza, mbona wana Yanga mna wasiwasi na shamra-shamra zimepungua? Au Fifa kumejibu nini hah hah tuwekeni wazi jamani na sisi!Ubingwa gani huu mchachu namna hii?
Hongereni Wanayanga wenzangu,ila sina raha kabisa.
Bora nifanye mambo yangu mengine maana hata kuserebuka nashindwa.
Kwa unyoooooonge kabisa....
Cheers [emoji17] [emoji485]