Mechi za mwisho VPL,Vita ya ubingwa na kushuka daraja

Mechi za mwisho VPL,Vita ya ubingwa na kushuka daraja

Mpira umeanza CCM Kirumba dakika ya 6 inaenda

Yanga 0 Mbao 0
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Mpira umeanza kwa kasi 0-0
Uwanja umechangamka kwa shamrashamra
 
Nahitaji mchango wenu aisee, nipo mbali na sitafanikiwa kutazama match
 
Mods unganisheni hizi threads,nashindwa kuchangia huku na huku
Moderator Paw JamiiForums
Mkuu kama vipi waunganishe tu, ule wa kwako nilivyousoma nakaona kama ni uchambuzi na sio updates... ndio maana nikaweka live ili iwe rahisi kwa yeyote kuufuatilia.

Mods waangalie jinsi ya kuuweka vizuri uwe mmoja unaoeleweka.
 
Mechi ya Toto na Mtibwa itazamwe kwa jicho la umakini sana
Natamani hii mechi ingekuwa Mtibwa na Simba, yaani Simba ndo angekuwa kwenye nafasi ya Toto, haki ya nani hii mechi Miamala FC lazima wangefanya yao!!
 
Screenshot_20170520-162041.png
Screenshot_20170520-162027.png
 
Mkuu kama vipi waunganishe tu, ule wa kwako nilivyousoma nakaona kama ni uchambuzi na sio updates... ndio maana nikaweka live ili iwe rahisi kwa yeyote kuufuatilia.

Mods waangalie jinsi ya kuuweka vizuri uwe mmoja unaoeleweka.
Naam,that's it.
Kwa sasa tuendelee hapahapa mkuu
 
Updates
Mpira unaanza Kirumba Mwanza
Yanga 0-Mbao
Wewe mama umeanzisha huu uzi tunaomba uwe unaweka hizo updates hapo juu! Kule ndani wewe usiende uwe unaongeza hapo juu tu!! Kama hujui kutangaza basi waachie wenyewe!
 
Wewe mama umeanzisha huu uzi tunaomba uwe unaweka hizo updates hapo juu! Kule ndani wewe usiende uwe unaongeza hapo juu tu!! Kama hujui kutangaza basi waachie wenyewe!
Kuna uzi wa live updates tuhamie huko mkuu,bora mods waunganishe hizi nyuzi tuwe pamoja
 
Back
Top Bottom