Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usijali mkuu hatutakuangusha.Nahitaji mchango wenu aisee, nipo mbali na sitafanikiwa kutazama match
Mkuu kama vipi waunganishe tu, ule wa kwako nilivyousoma nakaona kama ni uchambuzi na sio updates... ndio maana nikaweka live ili iwe rahisi kwa yeyote kuufuatilia.
Natamani hii mechi ingekuwa Mtibwa na Simba, yaani Simba ndo angekuwa kwenye nafasi ya Toto, haki ya nani hii mechi Miamala FC lazima wangefanya yao!!Mechi ya Toto na Mtibwa itazamwe kwa jicho la umakini sana
Naam,that's it.Mkuu kama vipi waunganishe tu, ule wa kwako nilivyousoma nakaona kama ni uchambuzi na sio updates... ndio maana nikaweka live ili iwe rahisi kwa yeyote kuufuatilia.
Mods waangalie jinsi ya kuuweka vizuri uwe mmoja unaoeleweka.
Wewe mama umeanzisha huu uzi tunaomba uwe unaweka hizo updates hapo juu! Kule ndani wewe usiende uwe unaongeza hapo juu tu!! Kama hujui kutangaza basi waachie wenyewe!Updates
Mpira unaanza Kirumba Mwanza
Yanga 0-Mbao
Kuna uzi wa live updates tuhamie huko mkuu,bora mods waunganishe hizi nyuzi tuwe pamojaWewe mama umeanzisha huu uzi tunaomba uwe unaweka hizo updates hapo juu! Kule ndani wewe usiende uwe unaongeza hapo juu tu!! Kama hujui kutangaza basi waachie wenyewe!