Mechi za mwisho VPL,Vita ya ubingwa na kushuka daraja

Mechi za mwisho VPL,Vita ya ubingwa na kushuka daraja

Timu zote zipo viwanjani Yanga wakiwa CCM Kirumba kumenyana na Mbao FC...Simba wapo jiji Dar wakiwakaribisha Mwadui FC.

Bodi ya Ligi imechonga makombe mawili ya ligi moja lipo Dar Taifa lingine liko Kirumba Mwanza..

Sababu ya kufanya hivyo ni mkaribiano wa point kati ya Simba na Yanga....Yanga ana point 68, Simba anapoint 65... hivyo Yanga akifungwa simba itabidi ishinde kwa magoli zaidi ya 12 kwa sifuri ili awe bingwa.

f6d0a08dd24eec18e7f38c56f6b8cbef.jpg


Mbao FC 1 vs 0 Yanga

Simba 2 vs 1 Mwadui FC

Majimaji 2 vs 1 MBC

Mtibwa 3 vs 1 Toto

Ndanda 2 vs 0 Jkt Ruvu.

Azam 0 vs 1 Kagera.

TZP 0 vs 0 AFL
*************************
Mechi zote zimemalizika.

Yanga Bingwa ........

Zilizoshuka daraja..

1, Afrika Lion
2,Toto Africa
3, JKT Ruvu
e9b284c47c56056b999153f3d562009d.jpg

19628bab9546599329b33d6ca6f49200.jpg
Toto Afrika wakome na washuke mpaka daraja la nne, haiwezekani wao wakawa kila msimu wanajiandaa kucheza na Simba tu!
 
Hivi kwa akili yako timamu ni kipi kwanza cha kuendea Fifa? Kama si kupoteza pesa.Chamsingi ni kuwa viongozi wa simba lazima wapige saundi kwa mashabiki zao ili wawe na amani wasije msimbazi kuwachapa viboko kwa uzembe wao hadi kufikia hapo.
Ni hicho walichoendea ndicho kilicho wapeleka , Kwani walikuja kukuomba mchango uwachangie Waende FIFA?
 
Uzalendo kwanza, mbona wana Yanga mna wasiwasi na shamra-shamra zimepungua? Au Fifa kumejibu nini hah hah tuwekeni wazi jamani na sisi!
MKUU NI WEWE TU UNAONA SHAMRA SHAMRA ZIMEPUNGUA...ILA HUKU DAR ES SALAAM MAKAO MAKUU KUMICHEFUKA KABISA.....

KILA MTU ANA FURAHA ISIVYO KAWAIDA..
 
Mkuu mechi muhimu ilikuwa Moja tu. Ile ya Shirikisho. Hii ya leo haikuwa na umuhimu bali kutimiza ratiba.
Subirini Fifa iwaumbue, maana tff inawabeba, sheria ziko wazi! haiwezekani mtu tff wanakubali ana kadi tatu ila wanadai eti simba haikulipia faini na marefa wanapingana eti mmoja anasema alipata kadi ya njano kwa kumsukuma mwenzie mwengine kwa kumchezea rafu mwingine ila wanakili alipewa kadi ya njano mechi na afrika lyon!
 
Haaah sio rahis, bingwa tayari kakabidhiwa Kombe lake...unadhan kuipoka Yanga kombe kazi rahisi? Huwezi pata kombe baada ya kukabidhiwa kwingine
 
Subirini Fifa iwaumbue, maana tff inawabeba, sheria ziko wazi! haiwezekani mtu tff wanakubali ana kadi tatu ila wanadai eti simba haikulipia faini na marefa wanapingana eti mmoja anasema alipata kadi ya njano kwa kumsukuma mwenzie mwengine kwa kumchezea rafu mwingine ila wanakili alipewa kadi ya njano mechi na afrika lyon!


HAUTOKUJA KUAMINI PALE FIFA WATAKAPO KUJA KUWAAMBIA KUWA WAO HAWASIMAMII "KANUNI" ZA LIGI BALI WANASIMAMIA "SHERIA" ZIONGOZAZO SOKA.
 
Mbao 1 yanga 0 mtibwa 3 toto 1 majimaji 2 mɓaya 1 simba 2 mwaɗui 1 kagera 1 azam 0 tunamsubiri Rage ameenda Fifa

Yule yule aliyewaita mambumbumbu...sasa amekuwa lulu wa kujivunia naye!
 
Simba mabingwa, tunarejeshewa pointi zetu 3
Ninachowapendea Mashabiki wa simba huwa mnaishi kwa "Matumaini" kama wagonjwa wa Ukimwi.

Endeleeni kuenenda na upepo wa viongozi wenu.
 
Gongowazi kimenasia kimoko! dadaadeki, shubamit [emoji16] [emoji16]
Ni heri kinase kimoja wakati huo huo unatwaa ndoo!

Kuliko kinase kimoja alafu uwe ujabeba ndoo tangu mwaka 2011/12
 
Baada ya refa kukataa kutoa goli uku kalipwa cash,wachezaji wa Yanga wataka kumshushia kipigo.

Mbona hatuwaelewei?

Mara mje humu muanze kusema Yanga imefilisika, mara mseme Yanga sasa ina hela na imehonga waamuzi....

Hamueleweki. Ndio maana viongozi wenu wanawapeleka puta tu...Miaka 7 bila UBINGWA>
 
hapa ni jaza ujazwe...simba mbele kwa mbele. bado point zetu tatu kule FIFA , Ngada fc mtakuta mmetushikia kombe letu kama tu ilivyokuwa kwa wiz kid dhidi ya Alikiba


Endelea Kuishi kwa matumaini kama MGONJWA WA UKIMWI>
 
Ni heri kinase kimoja wakati huo huo unatwaa ndoo!

Kuliko kinase kimoja alafu uwe ujabeba ndoo tangu mwaka 2011/12
Unatia aibu tu, ukienda unarudi hatua ya mwanzo kabisa. Inakuwa kama timu inayopanda ligi kuu leo kesho inashuka.
 
Mkuu kwa mujibu wa taratibu za TFF Yanga ndiye bingwa wa ligi ya VPL kwa msimu wa 2016/17 na simoni msuva ndiye mfungaji bora.
>kuhusu rufaa ya FIFA haina mantiki maana unatakiwa kuikumbuka kauli ya kamati ile ya sheria iliyotamka wakati inarudisha point kwa walioshnda mechi (kagera sugar)
>aidha, TFF ilishapeleka taarifa FIFA kuwa mchezaji wa kagera sugar hana kadi 3 za njano na ukumbuke wenye dhamana ya kutunza kumbukumbu za mpira ni TFF na syo simba.
>lakin mwsho hata ikibainika kuna hayo makosa, FIFA haitoi point.. Inatoa adhabu kwa TFF, UPO HAPO? point hazitafutwi mezani wala fifa sheikh, znatafutwa uwanjani.
KARIBUNI JANGWANI MLE MISHIKAKI.
 
Hivi kwa akili yako timamu ni kipi kwanza cha kuendea Fifa? Kama si kupoteza pesa.Chamsingi ni kuwa viongozi wa simba lazima wapige saundi kwa mashabiki zao ili wawe na amani wasije msimbazi kuwachapa viboko kwa uzembe wao hadi kufikia hapo.
Mkuu TFF wenyewe ni wabia wa FIFA, so what do you expect?
Na yanga kasha kabidhiwa kombe
 
Back
Top Bottom