Timu zote zipo viwanjani Yanga wakiwa CCM Kirumba kumenyana na Mbao FC...Simba wapo jiji Dar wakiwakaribisha Mwadui FC.
Bodi ya Ligi imechonga makombe mawili ya ligi moja lipo Dar Taifa lingine liko Kirumba Mwanza..
Sababu ya kufanya hivyo ni mkaribiano wa point kati ya Simba na Yanga....Yanga ana point 68, Simba anapoint 65... hivyo Yanga akifungwa simba itabidi ishinde kwa magoli zaidi ya 12 kwa sifuri ili awe bingwa.
Mbao FC 1 vs 0 Yanga
Simba 2 vs 1 Mwadui FC
Majimaji 2 vs 1 MBC
Mtibwa 3 vs 1 Toto
Ndanda 2 vs 0 Jkt Ruvu.
Azam 0 vs 1 Kagera.
TZP 0 vs 0 AFL
*************************
Mechi zote zimemalizika.
Yanga Bingwa ........
Zilizoshuka daraja..
1, Afrika Lion
2,Toto Africa
3, JKT Ruvu