barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Nitajie kipengere cha fifa kinachokataza serikali kuingilia moja kwa moja shughuli za tff au fa kwa nchi zingine, kusha tutarudi ktk hoja yako ya sheria vs kanuni.HAUTOKUJA KUAMINI PALE FIFA WATAKAPO KUJA KUWAAMBIA KUWA WAO HAWASIMAMII "KANUNI" ZA LIGI BALI WANASIMAMIA "SHERIA" ZIONGOZAZO SOKA.
Napendekeza ligi yote iwe timu tatu tu, Simba, Mbao na Yanga.
Acha ushamba hata maalim seif alipiga sana picha akiwa mahakama ya kimataifa hadi leo kimyaHahaha vituko
Siku zote ukiwa na upande utatoa maamuzi ya upande wako,ndio sababu kuna kukata rufaa,subiri usitetemekeMkuu kwa mujibu wa taratibu za TFF Yanga ndiye bingwa wa ligi ya VPL kwa msimu wa 2016/17 na simoni msuva ndiye mfungaji bora.
>kuhusu rufaa ya FIFA haina mantiki maana unatakiwa kuikumbuka kauli ya kamati ile ya sheria iliyotamka wakati inarudisha point kwa walioshnda mechi (kagera sugar)
>aidha, TFF ilishapeleka taarifa FIFA kuwa mchezaji wa kagera sugar hana kadi 3 za njano na ukumbuke wenye dhamana ya kutunza kumbukumbu za mpira ni TFF na syo simba.
>lakin mwsho hata ikibainika kuna hayo makosa, FIFA haitoi point.. Inatoa adhabu kwa TFF, UPO HAPO? point hazitafutwi mezani wala fifa sheikh, znatafutwa uwanjani.
KARIBUNI JANGWANI MLE MISHIKAKI.
Mkuu kwa mujibu wa taratibu za TFF Yanga ndiye bingwa wa ligi ya VPL kwa msimu wa 2016/17 na simoni msuva ndiye mfungaji bora.

>lakin mwsho hata ikibainika kuna hayo makosa, FIFA haitoi point.. Inatoa adhabu kwa
TFF, UPO HAPO? point hazitafutwi mezani wala fifa sheikh, znatafutwa uwanjani.
KARIBUNI JANGWANI MLE MISHIKAKI.
Kwa nini mkuu unapendekeza hivyoNapendekeza ligi yote iwe timu tatu tu, Simba, Mbao na Yanga.
Acha ujinga
View attachment 512165
Ligi haina ushindani kabisa aisee. Kila mwaka Yanga tuuuuu... Labda mwakani tutapata kaupinzani kaduchu Azam akijipangaVYURA HAWANA FURAHA SABABU HAWAJIAMINI KAMA WAMEKUWA MABINGWA
WASHAJUA UBINGWA UNA HATIHATI WANAWEZA JIFANYA WANASEREBUKA HALAFU WAKAJA UMBUKA
Mkuu kumbe kwenye viwanja na wwe upo..... nlijua upo kule kwenye wanasiasa tuUsijali mkuu hatutakuangusha.
Wababe wa Yanga.Kwa nini mkuu unapendekeza hivyo
Haina tofauti na Ali Kiba alipopata tuzo yake ya MTV ....2:Ni lini hukumu ya fifa itatolewa kuhusu pointi za simba?
Mkuu kwa mujibu wa taratibu za TFF Yanga ndiye bingwa wa ligi ya VPL kwa msimu wa 2016/17 na simoni msuva ndiye mfungaji bora.
>kuhusu rufaa ya FIFA haina mantiki maana unatakiwa kuikumbuka kauli ya kamati ile ya sheria iliyotamka wakati inarudisha point kwa walioshnda mechi (kagera sugar)
>aidha, TFF ilishapeleka taarifa FIFA kuwa mchezaji wa kagera sugar hana kadi 3 za njano na ukumbuke wenye dhamana ya kutunza kumbukumbu za mpira ni TFF na syo simba.
>lakin mwsho hata ikibainika kuna hayo makosa, FIFA haitoi point.. Inatoa adhabu kwa TFF, UPO HAPO? point hazitafutwi mezani wala fifa sheikh, znatafutwa uwanjani.
KARIBUNI JANGWANI MLE MISHIKAKI.
Hapo bingwa ni mbao atachukua point 6 home na away ,,na kuchukua point 3 kwa simbaa hapo atakuwa na point 9Napendekeza ligi yote iwe timu tatu tu, Simba, Mbao na Yanga.