Mechi za mwisho VPL,Vita ya ubingwa na kushuka daraja

Mechi za mwisho VPL,Vita ya ubingwa na kushuka daraja

HAUTOKUJA KUAMINI PALE FIFA WATAKAPO KUJA KUWAAMBIA KUWA WAO HAWASIMAMII "KANUNI" ZA LIGI BALI WANASIMAMIA "SHERIA" ZIONGOZAZO SOKA.
Nitajie kipengere cha fifa kinachokataza serikali kuingilia moja kwa moja shughuli za tff au fa kwa nchi zingine, kusha tutarudi ktk hoja yako ya sheria vs kanuni.
 
Mkuu kwa mujibu wa taratibu za TFF Yanga ndiye bingwa wa ligi ya VPL kwa msimu wa 2016/17 na simoni msuva ndiye mfungaji bora.
>kuhusu rufaa ya FIFA haina mantiki maana unatakiwa kuikumbuka kauli ya kamati ile ya sheria iliyotamka wakati inarudisha point kwa walioshnda mechi (kagera sugar)
>aidha, TFF ilishapeleka taarifa FIFA kuwa mchezaji wa kagera sugar hana kadi 3 za njano na ukumbuke wenye dhamana ya kutunza kumbukumbu za mpira ni TFF na syo simba.
>lakin mwsho hata ikibainika kuna hayo makosa, FIFA haitoi point.. Inatoa adhabu kwa TFF, UPO HAPO? point hazitafutwi mezani wala fifa sheikh, znatafutwa uwanjani.
KARIBUNI JANGWANI MLE MISHIKAKI.
Siku zote ukiwa na upande utatoa maamuzi ya upande wako,ndio sababu kuna kukata rufaa,subiri usitetemeke
 
Mkuu kwa mujibu wa taratibu za TFF Yanga ndiye bingwa wa ligi ya VPL kwa msimu wa 2016/17 na simoni msuva ndiye mfungaji bora.

>kuhusu rufaa ya FIFA haina mantiki maana unatakiwa kuikumbuka kauli ya kamati ile ya sheria iliyotamka wakati inarudisha point kwa walioshnda mechi (kagera sugar)
>aidha, TFF ilishapeleka taarifa FIFA kuwa mchezaji wa kagera sugar hana kadi 3 za njano na ukumbuke wenye dhamana ya kutunza kumbukumbu za mpira ni TFF na syo simba.
>lakin mwsho hata ikibainika kuna hayo makosa, FIFA haitoi point.. Inatoa adhabu kwa

TFF, UPO HAPO? point hazitafutwi mezani wala fifa sheikh, znatafutwa uwanjani.
KARIBUNI JANGWANI MLE MISHIKAKI.

SHOTI ENDI KRIA.
 
Yanga mnaogopa hata kushangilia kombe naona instagram kumepoa kweli au mshatonywa kuwa huo ni ubingwa hewa nini.....

Tatizo FIFA sio msiba kwamba mtaiba rambirambi kama kawa, tulieni dawa iwaingie.
 
Unaulizia hali ya hewa au hali gani,kwan we unavyojua kombe kachukua nani
 
f6ce5899e121431be7626d91277fdaef.jpg
 
VYURA HAWANA FURAHA SABABU HAWAJIAMINI KAMA WAMEKUWA MABINGWA

WASHAJUA UBINGWA UNA HATIHATI WANAWEZA JIFANYA WANASEREBUKA HALAFU WAKAJA UMBUKA
Ligi haina ushindani kabisa aisee. Kila mwaka Yanga tuuuuu... Labda mwakani tutapata kaupinzani kaduchu Azam akijipanga
 
Yanga ikivuliwa ubingwa na simba kupewa ubingwa itakuwa kicheko cha karne
 
Yanga ikivuliwa ubingwa na simba kupewa ubingwa itakuwa kicheko cha karne
 
Viongozi wa simba wanajua sana kuwadanganya mashabiki wao maana leo kuwakalisha chini wametoa na risiti [emoji23][emoji23][emoji23] usiulize kwa nini hawakizionyesha jana na mashabiki wametulia wanasubiri rufaa teheee teheeee naamini hata tahira ukimpa kuongoza timu ya Simba anaweza.
 
Klabu ya Simba imegoma kuchukua zawadi ya mshindi wa pili mara baada ya mchezo wake wa mwisho wa ligi kuu Tanzania bara dhidi ya Mwadui FC.

Licha ya ushindi wa Simba wa magoli 2-1 na kufikisha alama 68 sawa na Yanga ambayo imepoteza mchezo wake wa mwisho kwa kufungwa 1-0 na Mbao FC, bado Simba imejikuta ikimaliza katika nafasi ya pili kutokana na tofauti ya wastani wa magoli.

Baada ya mchezo wa Simba vs Mwadui kumalizika kwenye uwabja wa taifa, MC alitangaza kwamba timu ya Simba itapewa zawadi kulingana na nafasi waliyomaliza (ya pili) huku Yanga wakiwa wametwaa ubingwa wa VPL 2016/17.

Jambo la kustaajabisha ni pale viongozi na wachezaji kuonekana kutojali zawadi hiyo, walielekea vyumba vya kubadilishia nguo mara baada ya mchezo.

Walisubiriwa kwa dakika kadhaa lakini hawakutokea, walipoulizwa baadhi ya viongozi walijibu kwamba wachezaji wanabadili jezi walizochezea na kuvaa nguo maalum kwa ajili ya kwenda kupokea zawadi hizo.

Kadiri muda ulivyozidi kuyoyoma bado Simba waliendelea kusalia kwenye vyumba vya kubadilishia nguo na mara kadhaa wachezaji na viongozi walitoka na kurudi tena vyumbani.

Waandishi wa habari waliokuwepo uwanjani kwa ajili ya kushuhudia tukio hilo walianza kuondoka mmoja baada ya mwingine na kuwaacha wachezaji wa Simba wakiwa bado hawajatoka ndani ya vyumba vya kubadilishia nguo.
 
Mkuu kwa mujibu wa taratibu za TFF Yanga ndiye bingwa wa ligi ya VPL kwa msimu wa 2016/17 na simoni msuva ndiye mfungaji bora.
>kuhusu rufaa ya FIFA haina mantiki maana unatakiwa kuikumbuka kauli ya kamati ile ya sheria iliyotamka wakati inarudisha point kwa walioshnda mechi (kagera sugar)
>aidha, TFF ilishapeleka taarifa FIFA kuwa mchezaji wa kagera sugar hana kadi 3 za njano na ukumbuke wenye dhamana ya kutunza kumbukumbu za mpira ni TFF na syo simba.
>lakin mwsho hata ikibainika kuna hayo makosa, FIFA haitoi point.. Inatoa adhabu kwa TFF, UPO HAPO? point hazitafutwi mezani wala fifa sheikh, znatafutwa uwanjani.
KARIBUNI JANGWANI MLE MISHIKAKI.

Watu wengi sana nimekuwa nikiwaambia hii point. Hakuna watu wanaoheshimu matokeo ya uwanjani kama ngozi nyeupe. Adhabu itatolewa kwa aliyefanya uzembe lakini matokeo ya uwanjani hubaki kama ilivyokuwa.
 
Back
Top Bottom