Mechi za mwisho VPL,Vita ya ubingwa na kushuka daraja

Dak 34 CCm Kirumba Mbao 1-Yanga
 
Soka la bongo bwana.... Uchawiuchawi tu..
 
Hivi kuna wa kuizuia Yanga leo isitwae ubingwa kwa mara ya 27.?
Simba katwaa mara 18 tu.
Aisee , hapa kuna tofauti kubwa kati ya kaka na dada.
Sijui dada ni yupi hapo, ila poa mara nyingi kaka atakuwa na umri mkubwa zaidi basi KAKA YANGA
 
Dk 39, Shuti la Mavugo linamgonga Mngeveke na kuwa kona, inachongwa hapa na kuondoshwa na Awadhi Juma
 
Hawa Mbao wametukalia vibaya sana.....siwaelewi kabisa.!
 
Simba ni ngumu kupenya kwenye Tundu la sindano tena sindano yenyewe ya dakika 90.
 
Reactions: SDG
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…