Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sidhani kama watafikisha ...kazi wanayo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Bado wanadaiwa bao 11
Wasubiri na magoli toka USWIZISidhani kama watafikisha ...kazi wanayo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sijui dada ni yupi hapo, ila poa mara nyingi kaka atakuwa na umri mkubwa zaidi basi KAKA YANGAHivi kuna wa kuizuia Yanga leo isitwae ubingwa kwa mara ya 27.?
Simba katwaa mara 18 tu.
Aisee , hapa kuna tofauti kubwa kati ya kaka na dada.
Asante sana,.....mwingine.Sijui dada ni yupi hapo, ila poa mara nyingi kaka atakuwa na umri mkubwa zaidi basi KAKA YANGA
Ongeza na tutakazopata leo 2 mkuu jumla 13 iko palepaleBado wanadaiwa bao 11
Hiyo miala itakuwa hatariniSimba ubigwa lazima Leo tunashinda 14 bila tukijumlisha na pointi za FIFA
Kirumba dakika ya 45 Mbao anaongoza 1Nipo Koromije wadau , nipeni update