BIGstallion
JF-Expert Member
- Sep 13, 2016
- 6,324
- 7,913
Ndanda fc vipi huko jamani?
Wakifungwa leo watashuka daraja...sasa bora lipi mkuu!Hawa Mbao wangekuwa wanacheza hivi mechi zote hakuna ambaye angekatiza hapo
Ndanda fc vipi huko jamani?
Uongo,Ndanda 1-JKT 0!
Uongo,Ndanda 1-JKT 0!
Nawaombea waifunge Simba kwenye fainali ya AFC ....uwezo wanao.Hawa Mbao wangekuwa wanacheza hivi mechi zote hakuna ambaye angekatiza hapo
Hadi sasa ni mapumziko na Ndanda anaongoza 1 kwa bila.Ndanda fc vipi huko jamani?
Ni kesho dhid ya NigerSerengeti boys mechi yao saa ngapi?
Kesho saa 11:30Serengeti boys mechi yao saa ngapi?
Hawa Mbao wapuuzi wakiona Yanga ndio wanakaza balaa wakati game na simba walifungwa kipuuzi kweli.Daaa hii ni shida sasa kwa Yanga.Maana leo naona Mbao ndiyo wanaonekana zaidi kuliko Yanga inanisikitisha sana
Duh [emoji15] [emoji15] [emoji15] ! Maji maji....?Hadi sasa ni mapumziko na Ndanda anaongoza 1 kwa bila.
Maji maji anaongoza 1-0 dhid ya Mbeya City kule SongeaDuh [emoji15] [emoji15] [emoji15] ! Maji maji....?
Anaongoza 1 kwa 0 na MBCDuh [emoji15] [emoji15] [emoji15] ! Maji maji....?
Game zote siku ya kesho zitachezwa muda mmoja ili kuepuka kupanga matokeo, Tanzania U17 vs Niger U17 wakati huo huo Mali wataikaribisha Angola sasa 20.30 usikuKesho saa 11:30