Mechi za mwisho VPL,Vita ya ubingwa na kushuka daraja

Mechi za mwisho VPL,Vita ya ubingwa na kushuka daraja

Daaa hii ni shida sasa kwa Yanga.Maana leo naona Mbao ndiyo wanaonekana zaidi kuliko Yanga inanisikitisha sana
 
UPDATE:

Mjini Mwanza mpira ni mapumziko na Mbao FC ambao ni wenyeji wamekwenda mapumziko wakiwa na bao 1-0 dhidi ya Yanga.

Mechi imekuwa na ushindani mkali lakini inaonekana kuwa Mbao FC wamepania kujiokoa kw akushinda mechi hiyo dhidi ya Yanga ambao wana uhakika wa ubingwa kwa 99%

Kule Morogoro, Toto African na Mtibwa Sugar wamekabana koo katika dakika 45 za kwanza.

Mtibwa 1-1 Toto African
 
Daaa hii ni shida sasa kwa Yanga.Maana leo naona Mbao ndiyo wanaonekana zaidi kuliko Yanga inanisikitisha sana
Hawa Mbao wapuuzi wakiona Yanga ndio wanakaza balaa wakati game na simba walifungwa kipuuzi kweli.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Yanga wajue kabisa kuwa wanapaswa kushinda hii match ni muhim sana
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Kesho saa 11:30
Game zote siku ya kesho zitachezwa muda mmoja ili kuepuka kupanga matokeo, Tanzania U17 vs Niger U17 wakati huo huo Mali wataikaribisha Angola sasa 20.30 usiku
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Back
Top Bottom