Mechi za nje nacheza, kwa wife jogoo hawiki

Mechi za nje nacheza, kwa wife jogoo hawiki

What is this jamani?
Nikienda kwa kademu kangu ka uswazi, huko napiga mambo mpaka mtoto anadata, anawatukana hadi wazazi wake kwa kuweweseka na raha nimpazo.
Nikitaka kujirusha na mama mwenye ndoa yangu ni kasheshe, mtarimbo unalala doro, ukiinuka ndani ya dakika moja nisha piga bao na hausimami tena, hadi next week.
Jamani najihisi kabisa simtendei haki mke wangu, je nifanye nini ili nae nimpe raha kama anayoipata demu wa uswazi?

Huo ni mtihani mkubwa sana. Wengi hulalamika nje mambo magumu sasa wewe imekuwa kinyume sana kwamba nyumbani mambo ndiyo magumu!. Noma sana. Mwambie mkeo labda anaweza kukusaidia
 
halafu shosti......nataka niende pale Michungwani.......nataka mtu chake akisikia jina langu.........sijui nisemeje hapa.....

mmhh umeanza lini hayo mambo? vichen part vinadunda?? havitoi maujanja ya kutosha mtatunzana vyombo tu na khanga??
 
duu imekula kwako kaka kwani huo ni mguu wa mtu dhahiri shahiri!!!
 
Ukweli ni kwamba ukimpata mpenzi mpya Mahabat yanaweza kupungua kwa yule wa awali, USHAURI WANGU: Angalia Mkeo huyo mwingine anapita.
 
msimtie moyo, huyu kiranja mkuu.............. yaani ukweli kwamba kuna kitambaa cha shughuli kimefishwa mahali kila siku kinawashiwa mshumaa na kuzimwa.......... manina wallah!............. sasa hapo usipokomaa mkeo nae akianza kuzunguka utakuwa kweishney.........

haya ndo matokeo ya umalaya na utakoma mwaka huu.......kidogo utashangaa mchumba wa huyo demu anakupiga kitu ngoma limoto.........iyo usiku na mchana hailali unakazi ya kuumia tu........hahahaahaha! sasa jiulize uko susceptible kwa kulogwa na wangapi?? kisa uchi tu??
ukirudi unandai DOMPO nzimah! ahahhahhahahha umenikumbusha mbali sana hilo neno kwenye red!
 
Hii ilishawahi kunitokea nikiwa na demu wangu mmoja hivi,nilikuwa nikikutana na mademu wengine ilikuwa ninapata shida sana kupata mzuka yaani hata wakiwa wazuri kivipi,lakini nikienda kwake huyo wa kwanza ilikuwa hata hajavua nguo tu ngoma ishasimama kwa sauti yake tu,mwanzni nilidhani ni tatizo lla psycholojia kuwa nampenda yeye zaidi ya mwingine
lakini wadau wakanitonya kuwa kuna kamchezo nachezewa niwe makini,nilipofuatilia kiundani ni kweli bwana ushirikooo
mtupu....!!!
 
kaishi nae uswazi.. Itasimama bila ukomo. Ukija hapa utaomba ushauri wa kuifanya isinyaeeee .. Kwi kwi kwiiiiiiiiiii

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
mh!!! kazi ipo. ushapatikana hivyo, bado kidogo akufanye umpe wife na talaka kabisa!!! chezea smol house wewe!
 
Ni jambo linalokera kwa kweli, ila jaribu tena mtoke naye mazingira ya nyumbani mwende sehemu ingine kabisa, hapo ni lazima utaona tofauti na utafurahia ndoa yako.
 
Huo ni mtihani mkubwa sana. Wengi hulalamika nje mambo magumu sasa wewe imekuwa kinyume sana kwamba nyumbani mambo ndiyo magumu!. Noma sana. Mwambie mkeo labda anaweza kukusaidia
Dah, kweli huu mtihani
 
Kumbe wenye Matatizo kama lile Zombiii langu wengi kwelii!!!!!!! Mbona huyu hamumuwashiii moto kwa cheatting zake? Au kuna upendeleo humu jamvini.

hata mimi nashangaa,humu jamvini kuna upendeleo kbs, angekuwa mwingine angetukanwa sana kwa hizo tabia zake za kucheat!
 
hahahaha ni kweli lakini japo suna ili kupata mambo mapya......

hivi wewe yule mwanao mdogo si mkaka??

basi ujue mtoto wa kiume anaharibiwa na baba yake sasa wewe nenda katie sunna uone cha mtema kuni na ole wako aunt yake cacico na snowhite na Madame B waje kumuona wamkute anajambia mbele, anakalia mgongo badala ya ******, akiharisha uharo unarukia mbele , akisimama miguu haina nguvu uone cha mtema kuni lazima tukufungulie thread lol!
 
Last edited by a moderator:

tena umwambie kabisa!
 
acha umalaya wewe ujieshimu tumia akili hiyo siyo ndoa mweshimu mke wako acha ujinga wako.:target:
 
What is this jamani?
Nikienda kwa kademu kangu ka uswazi, huko napiga mambo mpaka mtoto anadata, anawatukana hadi wazazi wake kwa kuweweseka na raha nimpazo.
Nikitaka kujirusha na mama mwenye ndoa yangu ni kasheshe, mtarimbo unalala doro, ukiinuka ndani ya dakika moja nisha piga bao na hausimami tena, hadi next week.
Jamani najihisi kabisa simtendei haki mke wangu, je nifanye nini ili nae nimpe raha kama anayoipata demu wa uswazi?
kwani amekulalamikia? nakushangaa kweli.....we endelea na huyo shori wako wa nje. unataka umpe raha ya nini na wakati wenzio tunampa kile unachomnyima? we komaa tu na genu za ugenini na sisi tunakomaa na gemu za ugenini kwa mkeo!
 
Back
Top Bottom