Mechi za Simba SC kuonyeshwa Dstv

MO11

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2014
Posts
19,057
Reaction score
39,387
Hali si shwari huko Lamba lambani baada ya kumpa mlemavu nafasi ya kutukana matajiri.

Sasa matajiri nasikia wanapanga mechi zao kuoneshwa na Dstv kuanzia tamasha la Simba Day mpaka mechi za kimataifa.

Mimi kama shabiki wa Simba haswa tupo upande wa tajiri, hata kama hatuna ving'amuzi tutaenda vibanda umiza na tutaangalia tu

Enhee si wamemwaga ugali sisi tunakula mboga

Mo hata Dstv wakitoa hela kidogo wewe chukua tu

Mpaka watoke hadharani kutuomba msamaha kwa kumpa nafasi mlemavu
 
Hili neno ulilomwita banadamu mwenzako mlemavu kana kwamba alichagua mwenyewe kuwa hivyo nadhani Mungu ambaye alimuumba hivyo kwa mapenzi yake anakusikia kilio chako cha kutaka hali kama hiyo au changamoto kubwa zaidi. Amin amin nakuambia utayashuhudia kwenye mmoja wa wanafamilia yako ili ujue adha ya kuzaliwa na changamoto
 
Sadaka naweka wapi au nikutumie tigo pesa
 
Leo umepost uzi unaoendana na picha(avatar )uliyoweka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…