Mechi za Simba SC kuonyeshwa Dstv

Mechi za Simba SC kuonyeshwa Dstv

Hili neno ulilomwita banadamu mwenzako mlemavu kana kwamba alichagua mwenyewe kuwa hivyo nadhani Mungu ambaye alimuumba hivyo kwa mapenzi yake anakusikia kilio chako cha kutaka hali kama hiyo au changamoto kubwa zaidi. Amin amin nakuambia utayashuhudia kwenye mmoja wa wanafamilia yako ili ujue adha ya kuzaliwa na changamoto

Siku zote mnamwita Mwarabu wa Nguruka,leo naona mmejawa na busara za kutambua uuambaji wa Mungu.
 
Kweli hii ndo maana ya Mbumbumbu

Mtu hajui kama Right for live broadcasting za mechi ya ligi kuu hapa nchini anayo Azam TV kwa miaka 10 na tena for billions of money na mkataba huo anaingia TFF na sio club

Mtu hujui kama Azam TV wameingia mkataba na Yanga wa media right coverage yaani press conference, matamasha yao ya wananchi, utambulisho wa wachezaji, mechi za away na home za champions league before group stage, na Kila kitu kinachohusu media ni haki ya Azam TV kwa miaka kumi.

Na hii ndo tumeona Azam TV wamekuwa wakihusika kutambulisha wachezaji wapya wa Yanga kwa tukio la Live.

Na hapa tumeona Yanga wakiondoka na mtangazaji wa Azam TV huko kambini Morroco kwa lengo la kufanya media coverage ya kila kitu kitakachotokea kule

Press conference zote ni haki yao kwenda live na chombo kinachohitaji kwenda live ni lazima anunue haki hizo za matangazo kutoka kwa Azam TV,

Ila sasa upande wa Simba SC wenyewe hawana mkataba wa aina hiyo na Azam TV wakidai pesa iliyowekwa kwa ajili ya kununua haki hizo ni ndogo sanaa na hawezi kupewa haki sawa na Yanga
 
Hali si shwari huko Lamba lambani baada ya kumpa mlemavu nafasi ya kutukana matajiri.

Sasa matajiri nasikia wanapanga mechi zao kuoneshwa na Dstv kuanzia tamasha la Simba Day mpaka mechi za kimataifa.

Mimi kama shabiki wa Simba haswa tupo upande wa tajiri, hata kama hatuna ving'amuzi tutaenda vibanda umiza na tutaangalia tu

Enhee si wamemwaga ugali sisi tunakula mboga

Mo hata Dstv wakitoa hela kidogo wewe chukua tu

Mpaka watoke hadharani kutuomba msamaha kwa kumpa nafasi mlemavu
Dah huyu kilaza yupo kwenye giza totoro.
Hafahamu kuwa wenye mpira ni FIFA na kwa Africa inawakilishwa na CAF ambapo hapa nchini wanawakilishwa na TFF ambao wameshaingia mkataba na Azam TV unaowapa haki exclusively, za kurusha mechi zote za Premier League ya Tanzania, huku CAF wanamkataba wa kurusha mechi za michuano hiyo ya Afrika na TV station waliyoichagua.
Labda Simba ishiriki michuano ya bao na iwaombe DSTV wairushe live!!!
 
Hili neno ulilomwita banadamu mwenzako mlemavu kana kwamba alichagua mwenyewe kuwa hivyo nadhani Mungu ambaye alimuumba hivyo kwa mapenzi yake anakusikia kilio chako cha kutaka hali kama hiyo au changamoto kubwa zaidi. Amin amin nakuambia utayashuhudia kwenye mmoja wa wanafamilia yako ili ujue adha ya kuzaliwa na changamoto
Mkuu naomba tumsamehe ndugu yetu, wakati mwingine ulimi unateleza Mkuu. Mungu amsamehe.
 
Unaleta maneno ya shombo bila kufatilia Mambo, DStv wanaonyesha ligi ya mabingwa msimu huu
Dah huyu kilaza yupo kwenye giza totoro.
Hafahamu kuwa wenye mpira ni FIFA na kwa Africa inawakilishwa na CAF ambapo hapa nchini wanawakilishwa na TFF ambao wameshaingia mkataba na Azam TV unaowapa haki exclusively, za kurusha mechi zote za Premier League ya Tanzania, huku CAF wanamkataba wa kurusha mechi za michuano hiyo ya Afrika na TV station waliyoichagua.
Labda Simba ishiriki michuano ya bao na iwaombe DSTV wairushe live!!!
 
Dah huyu kilaza yupo kwenye giza totoro.
Hafahamu kuwa wenye mpira ni FIFA na kwa Africa inawakilishwa na CAF ambapo hapa nchini wanawakilishwa na TFF ambao wameshaingia mkataba na Azam TV unaowapa haki exclusively, za kurusha mechi zote za Premier League ya Tanzania, huku CAF wanamkataba wa kurusha mechi za michuano hiyo ya Afrika na TV station waliyoichagua.
Labda Simba ishiriki michuano ya bao na iwaombe DSTV wairushe live!!!
Tulia huko huko na mwiko wako nyuma
msimu ujao simba hatuoneshwi na ving'amuzi vya bei rahisi
 
Kwa heshima ya mtu uliyemweka kwenye avatar yako na mambo mema aliyoyafanya hapa duniani hukustahili kuung mkono ujinga alioandika mtoa mada.

Na ndiyo maana nikaamua kukumbusha,siku zote mbona hukuwahi kukemea? Au busara zimekujia leo kwakuwa tu kwa sasa anakufurahisheni? Yes kwa heshima ya Mama Theresa unapaswa kukemea haya wakati wote na si pale mtu anapokuwa tu anafanya yale uyapendayo.Tumsifu Yesu Kristo[emoji22]
 
Milele amina
mtumishi
 
Kweli hii ndo maana ya Mbumbumbu

Mtu hajui kama Right for live broadcasting za mechi ya ligi kuu hapa nchini anayo Azam TV kwa miaka 10 na tena for billions of money na mkataba huo anaingia TFF na sio club

Mtu hujui kama Azam TV wameingia mkataba na Yanga wa media right coverage yaani press conference, matamasha yao ya wananchi, utambulisho wa wachezaji, mechi za away na home za champions league before group stage, na Kila kitu kinachohusu media ni haki ya Azam TV kwa miaka kumi.

Na hii ndo tumeona Azam TV wamekuwa wakihusika kutambulisha wachezaji wapya wa Yanga kwa tukio la Live.

Na hapa tumeona Yanga wakiondoka na mtangazaji wa Azam TV huko kambini Morroco kwa lengo la kufanya media coverage ya kila kitu kitakachotokea kule

Press conference zote ni haki yao kwenda live na chombo kinachohitaji kwenda live ni lazima anunue haki hizo za matangazo kutoka kwa Azam TV,

Ila sasa upande wa Simba SC wenyewe hawana mkataba wa aina hiyo na Azam TV wakidai pesa iliyowekwa kwa ajili ya kununua haki hizo ni ndogo sanaa na hawezi kupewa haki sawa na Yanga
Sasa Kama Simba hajaingia tv rights na Azam akigoma mechi zake zisionyeshwe na Azam inashindikana nini?
 
umeandika pumba tu kijana
ndio maana nikasema mechi za simba kuoneshwa dstv
ukaamua kumaliza chaji kuandika utopolo mtupu
 
Sasa Kama Simba hajaingia tv rights na Azam akigoma mechi zake zisionyeshwe na Azam inashindikana nini?
Mi nachoona kwa vile Simba hajaingia mkataba wa kurusha matangazo na Azam Kama yanga walivyofanya Simba anaweza akaingia mkataba na DStv vile vile mechi zake kurushwa
hawakuwa tayari kwa jambo hili
wameumia sana
wakata viuno wa kongo
 
Sasa Kama Simba hajaingia tv rights na Azam akigoma mechi zake zisionyeshwe na Azam inashindikana nini?
Wewe mbumbumbu Media coverage rights na live broadcasting match ni vitu viwili tofauti na unaingia mkataba na watu wawili tofauti
 
Mi nachoona kwa vile Simba hajaingia mkataba wa kurusha matangazo na Azam Kama yanga walivyofanya Simba anaweza akaingia mkataba na DStv vile vile mechi zake kurushwa
Yaaani ww kwa akili zako supersport aingie mkataba wa kurusha matangazo ya match za timu moja katika ligi Hahahaaa, katika nchi ambayo media flani imechukua haki za maonyesho ya mechi za ligi hiyo basi Media nyingine haiwezi kurusha matangazo hayo bila ya kupata ruhusa kwa mwenye haki hizo

Mtakuwa mbumbumbu mpaka lini?
 
Back
Top Bottom