MO11
JF-Expert Member
- Mar 23, 2014
- 19,057
- 39,387
Hali si shwari huko Lamba lambani baada ya kumpa mlemavu nafasi ya kutukana matajiri.
Sasa matajiri nasikia wanapanga mechi zao kuoneshwa na Dstv kuanzia tamasha la Simba Day mpaka mechi za kimataifa.
Mimi kama shabiki wa Simba haswa tupo upande wa tajiri, hata kama hatuna ving'amuzi tutaenda vibanda umiza na tutaangalia tu
Enhee si wamemwaga ugali sisi tunakula mboga
Mo hata Dstv wakitoa hela kidogo wewe chukua tu
Mpaka watoke hadharani kutuomba msamaha kwa kumpa nafasi mlemavu