Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
ni TFF sio club.Kuweka mechi Supersport, timu itapata fedha ila itakua imetukomoa mashabiki wake...
Hivi mwenye haki ya matangazo ni timu au TFF.!?
Hii ndo maana halisi ya mbumbumbu.Wakuu Taarifa Zilizopo Ni Kwamba Simba wanataka mechi zao Za Ligi Kuu Zirushwe supersport badala ya Azam TV.
Taarifa ni Kuwa Azam wameambiwa kama wanataka Haki za matangazo Kwa Simba inabdi waombe msamaha kuhusu sakata la Manara na waweke mpunga wa maana.
Mbali na hivo mechi za Simba na matangazo mengine mengine yataonyeshwa Supersport*
Wakuu Hiyoo imakaaaje???
Tafuta pesa wewe,utakalia kulaumu matajili mpaka lini?! Au ukishiba senene na togwa basi unaridhika unaanza kutukana matajili na serikali!!!Nadhani Ni personal interest na Vita ya kibiashara Kati ya Mo na Bakheresa (Azam ). Huyu Mo hasipoangaliwa kwa hicho la tatu ataleta matatizo kwenye tasnia ya soka la nchi hii. Hivi Sasa yeye Ni kama ameishikilia vyombo vyoote vinavyoendesha shughuri za soka hapa nchini, kiufupi tff hawana namba likija suala Simba sc haswa likiwa kwenye maskahi ya Mo. Tafadhari tuwe makini na wawekezaji wa namba hii.
Na zawadi zinatolewa na AzamEndelea kuota. Ligi ni ya Azam. Labda kama unaongelea mechi za kirafiki.
Bila shaka ww ni tajiriTafuta pesa wewe,utakalia kulaumu matajili mpaka lini?! Au ukishiba senene na togwa basi unaridhika unaanza kutukana matajili na serikali!!!