Mechi za Simba za Ligi Kuu Kurushwa Supersport?

Mechi za Simba za Ligi Kuu Kurushwa Supersport?

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,669
Reaction score
8,268
Wakuu Taarifa Zilizopo ni Kwamba Simba wanataka mechi zao za Ligi Kuu zirushwe supersport badala ya Azam TV.

Taarifa ni Kuwa Azam wameambiwa kama wanataka Haki za matangazo Kwa Simba inabdi waombe msamaha kuhusu sakata la Manara na waweke mpunga wa maana.

Mbali na hivo mechi za Simba na matangazo mengine mengine yataonyeshwa Supersport.

Wakuu Hiyoo imakaaaje?
 
Kupitia UFM kabwili alisema simba wamemuhonga IST, jambo ambalo wameshindwa kuthibitisha mpaka leo.

Kupitia Azam tv, Manara ametukana viongozi wa simba na ni balozi wao.

Hivyo simba na Azam tv kuna jambo halipo sawa.

Kuhusu hilo swala nadhani ni mechi ya Simba day tu.
 
Kurusha mipasho ya Haji Manara live ilikuwa sahihi?

Azam Tv katika hilo walikosea ni brand kubwa sio kila anayetaka kuongea iwe live bass itabidi hata killa mwenye lake hata akina mama wa vigodoro iwe live.

Pale walikosea na shangaa uongozi wao na Simba wapo kimya.
 
Nadhani Ni personal interest na Vita ya kibiashara Kati ya Mo na Bakheresa (Azam ). Huyu Mo hasipoangaliwa kwa hicho la tatu ataleta matatizo kwenye tasnia ya soka la nchi hii.

Hivi Sasa yeye Ni kama ameishikilia vyombo vyoote vinavyoendesha shughuri za soka hapa nchini, kiufupi tff hawana namba likija suala Simba sc haswa likiwa kwenye maskahi ya Mo. Tafadhari tuwe makini na wawekezaji wa namba hii.
 
Huu ni uzushi wa karne. Mleta mada ameamua kuleta taharuki isio na msingi kabisa. Ligi ni ya TFF na Simba ni mshiriki tu kama timu nyingine. TFF walishasaini makubaliano na Azam Media na kuwauzia haki ya kuonyesha matangazo ya mpira. Simba wanalijua hilo na hawana uwezo wa kulipinga au kuligomea. Wakati mwingine ni vizuri tukalitumia hili jukwaa kuleta hoja za msingi na zenye kujenga badala ya kuleta taharuki kwa vitu ambavyo vipo wazi kabisa na mustakabali wake unajulikana wazi.
 
Wakuu Taarifa Zilizopo Ni Kwamba Simba wanataka mechi zao Za Ligi Kuu Zirushwe supersport badala ya Azam TV.

Taarifa ni Kuwa Azam wameambiwa kama wanataka Haki za matangazo Kwa Simba inabdi waombe msamaha kuhusu sakata la Manara na waweke mpunga wa maana.

Mbali na hivo mechi za Simba na matangazo mengine mengine yataonyeshwa Supersport*

Wakuu Hiyoo imakaaaje???
Hii ndo maana halisi ya mbumbumbu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani Ni personal interest na Vita ya kibiashara Kati ya Mo na Bakheresa (Azam ). Huyu Mo hasipoangaliwa kwa hicho la tatu ataleta matatizo kwenye tasnia ya soka la nchi hii. Hivi Sasa yeye Ni kama ameishikilia vyombo vyoote vinavyoendesha shughuri za soka hapa nchini, kiufupi tff hawana namba likija suala Simba sc haswa likiwa kwenye maskahi ya Mo. Tafadhari tuwe makini na wawekezaji wa namba hii.
Tafuta pesa wewe,utakalia kulaumu matajili mpaka lini?! Au ukishiba senene na togwa basi unaridhika unaanza kutukana matajili na serikali!!!
 
Mud anajitekenya na kucheka mwenyewe mechi zote za ligi zitaonyeshwa na Azam kwa miaka 10, ligi ni mali ya TFF.
 
Back
Top Bottom