Mechi za Simba za Ligi Kuu Kurushwa Supersport?

So Yule kenge alivyodhalilisha club kwa press yake ya kishoga unataka Mo kama muwekezaji awazawadie gari azam kwa ile airtym ya kipuuz
 

Kupitia post yako labda ataelewa, kuna uzi mwingine kama huu tulishmsaidia mleta mada kama hii mwingine...

Bahati mbaya huwa tuna mashabiki wa mpira na wapenzi wa mpira
 
Umewapasha kuntu

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Mwanasimba mwenzangu acha kutuaibisha bwana ni kweli Azam wametukera kwa kumpa airtime yule mzaramo lakini hatuna namna yoyote kuzuia mechi zetu za ligi wasirushe game zetu kwani tayari washaingia mkataba na TFF tena wa miaka 10 na TFF na bodi ya ligi ndio wenye Tv rights za mechi zote za ligi yetu
Tunachoweza kufanya labda ni kuzuia azam kurusha tukio letu la simba day na game ya nyumbani ya klabu bingwa hatua ya kwanza (First round) na pengine Simba supercup kama itafanyika tena na mwaka huu hizo ndio tunaweza mpa yoyote tumtakaye kurusha kama ni dstv au startimes lakini ligi ni haiwezekanii kabisaa labda tugomee hela(kama yanga kipindi cha Manji) ila sio kutoonyeshwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…