Mechi za Simba za Ligi Kuu Kurushwa Supersport?

Mechi za Simba za Ligi Kuu Kurushwa Supersport?

Nadhani Ni personal interest na Vita ya kibiashara Kati ya Mo na Bakheresa (Azam ). Huyu Mo hasipoangaliwa kwa hicho la tatu ataleta matatizo kwenye tasnia ya soka la nchi hii.

Hivi Sasa yeye Ni kama ameishikilia vyombo vyoote vinavyoendesha shughuri za soka hapa nchini, kiufupi tff hawana namba likija suala Simba sc haswa likiwa kwenye maskahi ya Mo. Tafadhari tuwe makini na wawekezaji wa namba hii.
So Yule kenge alivyodhalilisha club kwa press yake ya kishoga unataka Mo kama muwekezaji awazawadie gari azam kwa ile airtym ya kipuuz
 
Huu ni uzushi wa karne. Mleta mada ameamua kuleta taharuki isio na msingi kabisa. Ligi ni ya TFF na Simba ni mshiriki tu kama timu nyingine. TFF walishasaini makubaliano na Azam Media na kuwauzia haki ya kuonyesha matangazo ya mpira. Simba wanalijua hilo na hawana uwezo wa kulipinga au kuligomea. Wakati mwingine ni vizuri tukalitumia hili jukwaa kuleta hoja za msingi na zenye kujenga badala ya kuleta taharuki kwa vitu ambavyo vipo wazi kabisa na mustakabali wake unajulikana wazi.

Kupitia post yako labda ataelewa, kuna uzi mwingine kama huu tulishmsaidia mleta mada kama hii mwingine...

Bahati mbaya huwa tuna mashabiki wa mpira na wapenzi wa mpira
 
Huu ni uzushi wa karne. Mleta mada ameamua kuleta taharuki isio na msingi kabisa. Ligi ni ya TFF na Simba ni mshiriki tu kama timu nyingine. TFF walishasaini makubaliano na Azam Media na kuwauzia haki ya kuonyesha matangazo ya mpira. Simba wanalijua hilo na hawana uwezo wa kulipinga au kuligomea. Wakati mwingine ni vizuri tukalitumia hili jukwaa kuleta hoja za msingi na zenye kujenga badala ya kuleta taharuki kwa vitu ambavyo vipo wazi kabisa na mustakabali wake unajulikana wazi.
Umewapasha kuntu

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Mwanasimba mwenzangu acha kutuaibisha bwana ni kweli Azam wametukera kwa kumpa airtime yule mzaramo lakini hatuna namna yoyote kuzuia mechi zetu za ligi wasirushe game zetu kwani tayari washaingia mkataba na TFF tena wa miaka 10 na TFF na bodi ya ligi ndio wenye Tv rights za mechi zote za ligi yetu
Tunachoweza kufanya labda ni kuzuia azam kurusha tukio letu la simba day na game ya nyumbani ya klabu bingwa hatua ya kwanza (First round) na pengine Simba supercup kama itafanyika tena na mwaka huu hizo ndio tunaweza mpa yoyote tumtakaye kurusha kama ni dstv au startimes lakini ligi ni haiwezekanii kabisaa labda tugomee hela(kama yanga kipindi cha Manji) ila sio kutoonyeshwa
 
Back
Top Bottom