playboy babu
JF-Expert Member
- Nov 12, 2015
- 2,648
- 1,566
So Yule kenge alivyodhalilisha club kwa press yake ya kishoga unataka Mo kama muwekezaji awazawadie gari azam kwa ile airtym ya kipuuzNadhani Ni personal interest na Vita ya kibiashara Kati ya Mo na Bakheresa (Azam ). Huyu Mo hasipoangaliwa kwa hicho la tatu ataleta matatizo kwenye tasnia ya soka la nchi hii.
Hivi Sasa yeye Ni kama ameishikilia vyombo vyoote vinavyoendesha shughuri za soka hapa nchini, kiufupi tff hawana namba likija suala Simba sc haswa likiwa kwenye maskahi ya Mo. Tafadhari tuwe makini na wawekezaji wa namba hii.