Mechi za Yanga zichunguzwe, haiwezekani wanashinda mechi kirahisi namna hii

Nimependa tu kuona Yanga haina kiwango bora zaidi ya ujanja ujanja wa GSM kwa baadhi ya wachezaji wa Mtibwa hasa fowadi aliyevaa kiatu chekundu na kihimbwa
Umeingia kwenye mtego wa Mtu kijinga Sana. Wewe na huo ushabiki maandazi wako kaa pembeni. Erythrocyte ni shabiki kindakindaki wa Yanga.
 
Pole sana ila Maumivu yakizidi muone daktari
 
Umesahau mechi ya coastal mkwakwani? Hawa ni wazee wa mchongo tuu
 
Zile bilioni 2 kaamua akaziwekeze katika kuhonga marefa na timu pinzani ili zilegeze
 
Haiwezekani anafungwa mtibwa alafu tunaoumia ni sisi MAKOLO

Huu ni uzi maalum wa makolo kujifariji na kutuliza maumivu

 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]kwaiyo mto post umefikilia vzur ukakubaliana na ukooo wako upost uu ujinga[emoji1]Mtoa POSt unaonaje huu muda ULIOTUMIA kupost huu ujinga wako ungekua unasoma namna ya kutfta pesa kWA kutumia fursa zilizopo mtaan kwako badilika Acha ujinga soma usiwe mtu wa akili za 0.0 yaani zero Brain
 
Kuna mtu humu jf mida ya mchana kacomment kwenye uzi fulani na kusema sahv kipa wa mtibwa ameshapewa kitita chake
 
Coastal Union huwa anakkmaaga na Yanga na saa nyingine hata kumfunga, ila Simba huwa anajipigia hata saba, hii nayo ni michongo ya nje ya uwanja?
 
Cha kufurahisha wote wanaonipinga ni kama wananishutumu kwa kutoa siri ambayo hawakupenda ifichuliwe , hawapingi sana kuhusu magoli laini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…