ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Simba bado hamkubali tu kuwa kiwango chenu kipo chini msimu huu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo Mayele sio Babu hahitaji Penati kuonesha ubora wake wa kufunga.Umeona ukweli kabisa magoli ya mchongo yote, haki yao if they paid for, kila mtu ashinde mechi zake
Umeingia kwenye mtego wa Mtu kijinga Sana. Wewe na huo ushabiki maandazi wako kaa pembeni. Erythrocyte ni shabiki kindakindaki wa Yanga.Nimependa tu kuona Yanga haina kiwango bora zaidi ya ujanja ujanja wa GSM kwa baadhi ya wachezaji wa Mtibwa hasa fowadi aliyevaa kiatu chekundu na kihimbwa
Tatizo Mayele sio Babu hahitaji Penati kuonesha ubora wake wa kufunga.Umeona ukweli kabisa magoli ya mchongo yote, haki yao if they paid for, kila mtu ashinde mechi zake
Hivi real madrid akicheza na simba then simba akapigwa 10 bila...vipi utataka uunde utume ichunguze kwa nin simba imefungwa kirahisi??.Jibu hoja mjomba
Haha sawaSina chuki nao hata chembe , lakini niliutilia shaka udhamini wao
Hata MO tulihoji udhamini wake kwa Simba
Pole sana ila Maumivu yakizidi muone daktariTukitaka kukuza soka la Tanzania tunapaswa kucheza na kushinda kwa haki .
Hii game ya Mtibwa vs Yanga ni kama ya kimchongo kabisa yaani , magoli yaliyofungwa mbona ni laini sana ! inakuwaje Mtibwa wanacheza wao lakini wanafungwa kizembe vile ?
Kuna haja ya kuchunguza kama kulikuwa na maelewano ya nje ya Uwanja kati ya timu hizi mbili .
Naomba kuwasilisha .
Umesahau mechi ya coastal mkwakwani? Hawa ni wazee wa mchongo tuuTukitaka kukuza soka la Tanzania tunapaswa kucheza na kushinda kwa haki .
Hii game ya Mtibwa vs Yanga ni kama ya kimchongo kabisa yaani , magoli yaliyofungwa mbona ni laini sana ! inakuwaje Mtibwa wanacheza wao lakini wanafungwa kizembe vile ?
Kuna haja ya kuchunguza kama kulikuwa na maelewano ya nje ya Uwanja kati ya timu hizi mbili .
Naomba kuwasilisha .
Haha wametoa pesa wamepewa wachezaji wazuri na nyie toeni pesa mletewe wachezaji ili mwache kuwananga wazee wenu kwamba hawafungi wakati umri umewatupa! mtu kama Kagere control chumba na sebule hahaUtopolo ni utopolo tu waoga wametoa pesa
unanipaje hiyo timu mkuu ?Umeingia kwenye mtego wa Mtu kijinga Sana. Wewe na huo ushabiki maandazi wako kaa pembeni. Erythrocyte ni shabiki kindakindaki wa Yanga.
Coastal Union huwa anakkmaaga na Yanga na saa nyingine hata kumfunga, ila Simba huwa anajipigia hata saba, hii nayo ni michongo ya nje ya uwanja?Tukitaka kukuza soka la Tanzania tunapaswa kucheza na kushinda kwa haki .
Hii game ya Mtibwa vs Yanga ni kama ya kimchongo kabisa yaani , magoli yaliyofungwa mbona ni laini sana ! inakuwaje Mtibwa wanacheza wao lakini wanafungwa kizembe vile ?
Kuna haja ya kuchunguza kama kulikuwa na maelewano ya nje ya Uwanja kati ya timu hizi mbili .
Naomba kuwasilisha .
Cha kufurahisha wote wanaonipinga ni kama wananishutumu kwa kutoa siri ambayo hawakupenda ifichuliwe , hawapingi sana kuhusu magoli laini[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]kwaiyo mto post umefikilia vzur ukakubaliana na ukooo wako upost uu ujinga[emoji1]Mtoa POSt unaonaje huu muda ULIOTUMIA kupost huu ujinga wako ungekua unasoma namna ya kutfta pesa kWA kutumia fursa zilizopo mtaan kwako badilika Acha ujinga soma usiwe mtu wa akili za 0.0 yaani zero Brain
Nendeni TAKUKURU.Unajua mlichofanya kutembeza vibahasha kwa baadhi ya wachezaji na viongozi wa mtibwa
Ndemla na Ame ambao ni wachezaji wenu nao wamepewa hela na GSM sKuna mtu humu jf mida ya mchana kacomment kwenye uzi fulani na kusema sahv kipa wa mtibwa ameshapewa kitita chake