IS analyst
JF-Expert Member
- Dec 4, 2018
- 274
- 466
Nafuatilia kipindi cha Medani za Siasa kinachorushwa na Star Tv, kuna mdahalo mkali katika ya Sugu vs Msigwa. Nimejifunza yafuatayo:
1. Upatikanaji wa Viongozi
Moja ya vyama vyenye hazina ya viongozi bora ni vyama vya upinzani.
2. Uwezo wa kujieleza na kujibu hoja
Viongozi kutoka vyama vya upinzani wengi wao ni wazuri kujieleza na wana uwezo mkubwa wa kujibu hoja za wananchi kwa ufasaha.
Mengine mtaongezea.
Wewe umegundua nini?