Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
vipi mkuu umepanda daraja au bado.Punguza hofu mzee baba! Una uhakika gani huyo January atafika hiyo 2030?
Yale yale!! Mlimchulia mzee wa watu kutawala milele, mwisho wa siku Izrael akamchumkua kwa nguvu na kabla ya huo wakati kufika.
Huu ujinga wao hua unanichafuaaa sanaa,utakuta baba zima lina msifu rais au waziri eti kwa kupeleka umeme vijijinii.Kapambana ujinga tu,hela tukatwe sisi kwny Luku kwa ajili ya kupeleka umeme vijijini,sifa apewe mwingine.Pumbavu.
Umeme ulikuwa unakatika tangu Magufuli yupo hai tena ilikuwa daily acha kutuona wendawazimu broSoma uelewe , tatizo limeanza baada ya Magufuli kufariki,ndio maana nasema ajalî za kisiasa
Acha upumbavu,lazima mtu apewe sifa kwa matumizi mazuri ya kodi zetuHuu ujinga wao hua unanichafuaaa sanaa,utakuta baba zima lina msifu rais au waziri eti kwa kupeleka umeme vijijinii.
Huku kila ununuapo umeme kuna fedha unakatwa kwa umeme huo.
Tajiri si adui, tajiri ni sehemu ya jamii - huwezi kupata maendelea kwa kumchukia tajiri - never.tumeshuhudia nguvu ya matajiri kupanga safu maeneo nyeti ya raslimali za nchi,
Sijui anatuchukuliaje kwa mfano.Umeme ulikuwa unakatika tangu magufuli yupo hai tena ilikuwa daily acha kutuona wendawazimu bro
Acha wivu wa kike, umeme umekatwa kimkakati ili ipatikane sababu ya kutenguliwa,mbona Magufuli alipokua hai haukukatikatika?Huo umeme mnaousifia ndio huu unaokatika mara 40 kwa siku?
Kama ye bingwa wa kupambana aende kwa Twaha Kiduku anataka pambano huku kwenye uwaziri tunamshukuru kwa machache aliyofanya.
Mpumbavu ni anaesifu mtu(utadhani ni hisani) kutimiza wajibu katika kazi aliyoajiriwa kufanya na kulipwaa marupurupuu ya kufuruuu.Acha upumbavu,lazima mtu apewe sifa kwa matumizi mazuri ya kodi zetu
We ulikuwa unaishi nchi gani? Hatukatai tatizo lilipungua lakini umeme kukatika kulikuwa pale pale. Mara kadhaa watu wamelalamika humu jukwaani tatizo la kukatika kwa umeme.Acha wivu wa kike,umeme umekatwa kimkakati ili ipatikane sababu ya kutenguliwa,mbona Magufuli alipokua hai haukukatikatika?
Na bado vichomi vitawatesa sana. Hadi masalia yote ya Chato international Airport yapotezweKalemani akiwa Waziri wa Nishati kapambana sana chini ya hayati Magufuli kukomesha mgao wa umeme ,kadhalika kusambaza umeme vijijini kwa bei nafuu kabisa...
Mpumbafu ni wewe ambaye unadhani mtu kutimiza wajibu wake wa kazi anastahili pongezi tena analipwa mshahara na marupurupu kibao na anatembelea matako kwa kodi zangu.Acha upumbavu,lazima mtu apewe sifa kwa matumizi mazuri ya kodi zetu
Tajiri hanuniwiTajiri si adui, tajiri ni sehemu ya jamii - huwezi kupata maendelea kwa kumchukia tajiri - never.
1. Tajiri + Tajiri = Tajiri
2. Maskini + Tajiri = Tajiri
3. Maskini + Maskini = Maskini.
Mwendazake alitaka kwenda na number 3, na vijana wake wote wakafuata nyanyo zake - haya mmoja yamemkuta sasa.
MAKAMBA KAMA LOWASA TU. HATOKUJA KUWA RAIS WA NCH HIIKalemani akiwa Waziri wa Nishati kapambana sana chini ya hayati Magufuli kukomesha mgao wa umeme ,kadhalika kusambaza umeme vijijini kwa bei nafuu kabisa...
Hakika tutaona mengi team fisadi wakijipanga kuchukua tena nchi 2025.Kalemani akiwa Waziri wa Nishati kapambana sana chini ya hayati Magufuli kukomesha mgao wa umeme ,kadhalika kusambaza umeme vijijini kwa bei nafuu kabisa...
Hata kama atafika akiwa mzima mpaka 2030 kwa utamaduni wa Ccm itakuwa ni zamu ya Mkristo, Au ??Punguza hofu mzee baba! Una uhakika gani huyo January atafika hiyo 2030?
Yale yale!! Mlimchulia mzee wa watu kutawala milele, mwisho wa siku Izrael akamchumkua kwa nguvu na kabla ya huo wakati kufika.
Hivi nguzo si tulihakikishiwa ni bure mbona wanazichaji? Gharama, za kuvuta umeme, zilizoainishwa kuwa ni bure ni zipiBaba tulia yameshatimia sasa huwezi jua kakosea wapi, hebu uliza anayesambaza nguzo za mradi wa REA Nchi nzima ni nani ukimjua njo hapa jukwaani tuendelee kujadili
Kaenda kuwa malaika mkuuPunguza hofu mzee baba! Una uhakika gani huyo January atafika hiyo 2030?
Yale yale!! Mlimchulia mzee wa watu kutawala milele, mwisho wa siku Izrael akamchumkua kwa nguvu na kabla ya huo wakati kufika.