Medard Kalemani kazi nzuri aliyoifanya nishati anaondolewa ili Makamba aingie kumalizia kiulaini na sifa ziwe zake kuelekea Urais 2030

Medard Kalemani kazi nzuri aliyoifanya nishati anaondolewa ili Makamba aingie kumalizia kiulaini na sifa ziwe zake kuelekea Urais 2030

Watanzania siyo wajinga wanajua Makamba anaenda kuendeleza kazi nzuri ya Kaleman
 
Punguza hofu mzee baba! Una uhakika gani huyo January atafika hiyo 2030?

Yale yale!! Mlimchulia mzee wa watu kutawala milele, mwisho wa siku Izrael akamchumkua kwa nguvu na kabla ya huo wakati kufika.
vipi mkuu umepanda daraja au bado.
 
Kapambana ujinga tu,hela tukatwe sisi kwny Luku kwa ajili ya kupeleka umeme vijijini,sifa apewe mwingine.Pumbavu.
Huu ujinga wao hua unanichafuaaa sanaa,utakuta baba zima lina msifu rais au waziri eti kwa kupeleka umeme vijijinii.

Huku kila ununuapo umeme kuna fedha unakatwa kwa umeme huo.
 
Huo umeme mnaousifia ndio huu unaokatika mara 40 kwa siku?

Kama ye bingwa wa kupambana aende kwa Twaha Kiduku anataka pambano huku kwenye uwaziri tunamshukuru kwa machache aliyofanya.
 
Huu ujinga wao hua unanichafuaaa sanaa,utakuta baba zima lina msifu rais au waziri eti kwa kupeleka umeme vijijinii.

Huku kila ununuapo umeme kuna fedha unakatwa kwa umeme huo.
Acha upumbavu,lazima mtu apewe sifa kwa matumizi mazuri ya kodi zetu
 
tumeshuhudia nguvu ya matajiri kupanga safu maeneo nyeti ya raslimali za nchi,
Tajiri si adui, tajiri ni sehemu ya jamii - huwezi kupata maendelea kwa kumchukia tajiri - never.

1. Tajiri + Tajiri = Tajiri
2. Maskini + Tajiri = Tajiri
3. Maskini + Maskini = Maskini.

Mwendazake alitaka kwenda na number 3, na vijana wake wote wakafuata nyanyo zake - haya mmoja yamemkuta sasa.
 
Huo umeme mnaousifia ndio huu unaokatika mara 40 kwa siku?

Kama ye bingwa wa kupambana aende kwa Twaha Kiduku anataka pambano huku kwenye uwaziri tunamshukuru kwa machache aliyofanya.
Acha wivu wa kike, umeme umekatwa kimkakati ili ipatikane sababu ya kutenguliwa,mbona Magufuli alipokua hai haukukatikatika?
 
Ndio na yeye akome. Alificha haki ya TL huyu, kwa kukalia kimya udhalimu akijua ni sehemu ya ulaji. Sasa na yeye kawekwa kando!
 
Acha upumbavu,lazima mtu apewe sifa kwa matumizi mazuri ya kodi zetu
Mpumbavu ni anaesifu mtu(utadhani ni hisani) kutimiza wajibu katika kazi aliyoajiriwa kufanya na kulipwaa marupurupuu ya kufuruuu.

Hao mawaziri wanao nunua hadi chupi kwa kodi zetu, wana kipya gani cha kuwasifu. Huu ni ushamba na udumavu wa akili.
 
Acha wivu wa kike,umeme umekatwa kimkakati ili ipatikane sababu ya kutenguliwa,mbona Magufuli alipokua hai haukukatikatika?
We ulikuwa unaishi nchi gani? Hatukatai tatizo lilipungua lakini umeme kukatika kulikuwa pale pale. Mara kadhaa watu wamelalamika humu jukwaani tatizo la kukatika kwa umeme.
 
Kalemani akiwa Waziri wa Nishati kapambana sana chini ya hayati Magufuli kukomesha mgao wa umeme ,kadhalika kusambaza umeme vijijini kwa bei nafuu kabisa...
Na bado vichomi vitawatesa sana. Hadi masalia yote ya Chato international Airport yapotezwe
 
Acha upumbavu,lazima mtu apewe sifa kwa matumizi mazuri ya kodi zetu
Mpumbafu ni wewe ambaye unadhani mtu kutimiza wajibu wake wa kazi anastahili pongezi tena analipwa mshahara na marupurupu kibao na anatembelea matako kwa kodi zangu.
 
Tajiri si adui, tajiri ni sehemu ya jamii - huwezi kupata maendelea kwa kumchukia tajiri - never.

1. Tajiri + Tajiri = Tajiri
2. Maskini + Tajiri = Tajiri
3. Maskini + Maskini = Maskini.

Mwendazake alitaka kwenda na number 3, na vijana wake wote wakafuata nyanyo zake - haya mmoja yamemkuta sasa.
Tajiri hanuniwi

Ova
 
Kalemani akiwa Waziri wa Nishati kapambana sana chini ya hayati Magufuli kukomesha mgao wa umeme ,kadhalika kusambaza umeme vijijini kwa bei nafuu kabisa...
Hakika tutaona mengi team fisadi wakijipanga kuchukua tena nchi 2025.
 
Punguza hofu mzee baba! Una uhakika gani huyo January atafika hiyo 2030?

Yale yale!! Mlimchulia mzee wa watu kutawala milele, mwisho wa siku Izrael akamchumkua kwa nguvu na kabla ya huo wakati kufika.
Hata kama atafika akiwa mzima mpaka 2030 kwa utamaduni wa Ccm itakuwa ni zamu ya Mkristo, Au ??
 
Baba tulia yameshatimia sasa huwezi jua kakosea wapi, hebu uliza anayesambaza nguzo za mradi wa REA Nchi nzima ni nani ukimjua njo hapa jukwaani tuendelee kujadili
Hivi nguzo si tulihakikishiwa ni bure mbona wanazichaji? Gharama, za kuvuta umeme, zilizoainishwa kuwa ni bure ni zipi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Punguza hofu mzee baba! Una uhakika gani huyo January atafika hiyo 2030?

Yale yale!! Mlimchulia mzee wa watu kutawala milele, mwisho wa siku Izrael akamchumkua kwa nguvu na kabla ya huo wakati kufika.
Kaenda kuwa malaika mkuu
 
Back
Top Bottom