- Thread starter
- #21
Bongo tunaichukulia poa ila ni sehemu nzuri sana kuishiKuna kanjubahi mmoja tuko naye machimboni Kahama wamekuja mpaka familia yake kumfuata kawakatalia katakata kurudi Mumbai, kasema duniani hamna nchi tamu kama Tz, chukulia huyo anaishi pori na intruders, ndo akubari kagere aliyezoea starehe za Dar?